Je, kuna umuhimu wowote wakumwambia mwenza wako siri zako zote?

Je, kuna umuhimu wowote wakumwambia mwenza wako siri zako zote?

Kama Ni Siri ambayo akija kuijua inaweza vunja mahusiano au ndoa..Bora ajue TU.
Ila Kama uliwahi kulawitiwa na jirani yako wakati mdogo ...Baki nayo tu.
 
Heheheh kumwambia mwanamke mipango yako na siri ni kuuza ramani ya vita kwa adui.

"You have a right to remain silence because what you say can be used against you!"

Kama unakumbuka ushawahi mwambia mpenzi wako flani kuwa demu wako wa kwanza alikusaliti na kukwambia maneno flani ya kukera mf. "mshamba"....Inafikia siku umehitilafiana na demu wako wa sasa anakurushia "ndio maana hilda alikuitaga mshamba wewe wala hakukosea!"..."Una mambo ya kishamba sana we mwanaume"

How does that feel?
Hivi Mkuu Yaaani kuitwa mshamba ndo Siri ya kutunza Hadi kufa?..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Duuuh
 
Ile hesabu ya kutafuta thamani ya X utaijua siku akikulipua.....

Sio kila jambo ni la kusema sema tu kuna Mengine mwambie Mola tu halafu vunga
 
Wewe jamaa akili kubwa sana aisee Jf kuna mijitu inaakili aisee.Point taken bro sio Mipango yangu mingi ilifeli kwa sababu ya kutoa siri ya mipango .
Usiruhusu kuwa Open kabisa kwa mwanamke...let her no the basics ila strategy zako hatakiwi kuzijua.
 
Back
Top Bottom