Je, kuna umuhimu wowote wakumwambia mwenza wako siri zako zote?

One crazy fact about dating a millennial : She's not yours, it's just your turn.
So keep all the crazy stuff to yourself, and never turn that relationship into a confession booth.
sure, relationship is not a confession booth
 
Kama Ni Siri ambayo akija kuijua inaweza vunja mahusiano au ndoa..Bora ajue TU.
Ila Kama uliwahi kulawitiwa na jirani yako wakati mdogo ...Baki nayo tu.
 
Hivi Mkuu Yaaani kuitwa mshamba ndo Siri ya kutunza Hadi kufa?..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Duuuh
 
Ile hesabu ya kutafuta thamani ya X utaijua siku akikulipua.....

Sio kila jambo ni la kusema sema tu kuna Mengine mwambie Mola tu halafu vunga
 
Wewe jamaa akili kubwa sana aisee Jf kuna mijitu inaakili aisee.Point taken bro sio Mipango yangu mingi ilifeli kwa sababu ya kutoa siri ya mipango .
Usiruhusu kuwa Open kabisa kwa mwanamke...let her no the basics ila strategy zako hatakiwi kuzijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…