DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.
Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi
Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine .
Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena .
Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia adui ambaye hakuwa sahihi na kuwaacha maadui wa kweli.
Mfano habari zake zote muhimu zilikuwa zikivuja na kusambazwa mitandaoni hilo tu lilionesha ansishi na maadui wa ndani wengi.
Lissu ni mpinzani na sifikirii kama angeuliwa that day kwa risasi mambo au upepo ungetulia .
Tuwe makini , tusipojifunza mbinu za kumjua adui wa kweli tusubiri KTO au KO.