Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Mnaotupia picha zinazoonesha hao wazungu Wa JF mnataka tuelewe nini??

Jee hiyo picha ingekuwa na wazungu wengi na waafrika watatu mngeileta kwenye mada hii!!?
 
Huenda tuko sawa ila jamaa waliwahi kujipata aisee.

Wamehustle toka miaka hiyo sisi na kina chifu mangungu hata hatujui kama dunia ina watu zaidi yetu.

Wao wakatugundua sisi 😂😂 ajabu hii.. wakagundua milima, maziwa na mabonde yetu ajabu tena hii...

Jamaa waliwahi kujipata, wale walioenda nao sawa vyedi ndo wametoboa nao kama wajapani, waliojitwist na kuhustle kivyao na wakatoboa pia ni kama wachina.

Ila sisi walituganda kishenzi mpaka kesho, hatujitambui, tuna tamaa, tunatamani kila kitu chao.
 
tofauti wa fikra upo mkubwa tu [emoji205]

Mathalani watu weupe,
wanafikiri ushoga ni haki yao ya msingi,

hali ya kuwa Waafrika wanafikiri ushoga ni dhambi, ni uovu, uchafu na ni kinyume na maadili na zaidi sana ni chukizo machoni pa Mungu [emoji205]

R.I.P Laigwanani comrade ENL
Upumbavu mzigo mzito sasa umejibu nn
 
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?

Afrika tunafikiri kimaskini, hatuna teknolojia bora na mifumo zetu za elimu pia ni mibovu hivyo zinatudidimiza zaidi ila Wazungu/waasia wana wanafikiria kitajiri, wana teknolojia na elimu bora.
 
Hata South Africa bila watu weupe leo hii SA ingekua kama Burundi, ukitaka kuamini hilo angalia crime rate ya SA, kesi za rushwa kwa viongozi n.k..
 
Mfano mzuri kwenye mpira,timu za Africa zikipata nafasi tano za kufunga wanafunga moja,wengine wakipata nafasi tano goli ni tatu au nne.
 
Kubwa! Mtu mweupe hawezi kukaa na mafuriko hadi ikulu kwa miaka 60 wala kuishi bila umeme nusu karne bila kupata solution
 
Back
Top Bottom