Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Siasa ni sayansi Kuna ujumbe Chadema wanauwasilisha kwa jamii...

Moja ni kuonyesha Chadema Kuna demokrasia kwamba yoyote anaweza kuchukua fomu na kuomba kuteuliwa.

Tofauti na CCM wanaojaribu kutoa fomu moja tu.

Mbili Chadema wamechoka kushadadia siasa za CCM nao sasa wanataka kuongelewa wao kama wao...ndio maana mpaka sasa ni 50/50 hakuna anaemshobokea mwenzake.

Tofauti na chaguzi za Nyuma Chadema walikuwa bize kufuatilia matukio kwenye chaguzi za CCM.

Chadema mwaka huu ilibidi watengeneze mnyukano feki, ili kuzua sito fahamu...yaani watengeneze kiki wapite nayo Hadi karibia na Uchaguzi.

Hata hivyo nawapongeza kwa hatua hizi za awali sio mbaya sana.

Jambo la mwisho ambalo nawashauri Chadema waandae mdahalo wa wagombea wao kila mmoja aeleze sera zake jinsi ya kuikwamua Tanzania.

Watakuwa wametengeneza kitu kikubwa Sana kwenye siasa za Tanzania.
 
Ndio inawezekana na tena huyu alie tia nia leo yawezekana anaficha aibu ya kuvunjika mguu kwa kwa tuhuma za ulevi anatutoa kwenye reli.
Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.
 
Mayalla upo sawa kabisa! Hivi mtu kama
1.msigwa aweza kuwa rais?
2.Nyalandu aweza kuwa Rais?
3. Mbowe anaweza kuwa rais wa nchi hii?

Hilo hata mimi nimeliona otherwise watakuwa wanataka wajifiche kwa kichaka hicho waseme mimi nimgombea urais, siunajua kuna issue inawaka moto takukuru???
 
Yaani andiko lote limejaa kudhani kuudhani! Ungesema wametia nia wengi kwakua wameshaona kuwa mgombea wa CCm atakua mwepesi...hili ni mojawapo ya maandiko dhaifu na yenye kujipendekeza kuliko yote
 
We unadhani matusi yatasaidia kujibu zile tuhuma?, mtu katoa tuhuma nzito kama zile dhidi ya serikali kisha wengine wakamjibu kuwa alikuwa kalewa sasa kwanini asije mwenyewe hadharani aeleze kilicho tokea?
 
Kama nyie wanaume kweli ruhusuni uchaguzi huru muone cha moto. Mnachoringia ni rigging na mitutu ya bunduki kulinda wizi wenu.
 
Kinaweza tokea kitu mwaka huu ambacho hutoamiani, na uteuzi utakuwa umeukosa
Mungu ni wa wote
 
Acha upotoshaji wa kijinga Paskali, kwani ukitia nia ya kugombea urais ndio huwezi kugombea ubunge? Akina Kigwangalla, Makamba, Mwigulu nk wote hao walijitokeza kugombea urais wa ccm, mbona wote ni wabunge hivi sasa?
Huyu Jamaa paskal amekuwa na akili ya kijinga sana.hata huwezi amini wakati vitu viko wazi kabisa kuwa ukishindwa urais unaendeza ubunge Sasa sijui akili akaificha wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…