Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Siasa ni sayansi Kuna ujumbe Chadema wanauwasilisha kwa jamii...

Moja ni kuonyesha Chadema Kuna demokrasia kwamba yoyote anaweza kuchukua fomu na kuomba kuteuliwa.

Tofauti na CCM wanaojaribu kutoa fomu moja tu.

Mbili Chadema wamechoka kushadadia siasa za CCM nao sasa wanataka kuongelewa wao kama wao...ndio maana mpaka sasa ni 50/50 hakuna anaemshobokea mwenzake.

Tofauti na chaguzi za Nyuma Chadema walikuwa bize kufuatilia matukio kwenye chaguzi za CCM.

Chadema mwaka huu ilibidi watengeneze mnyukano feki, ili kuzua sito fahamu...yaani watengeneze kiki wapite nayo Hadi karibia na Uchaguzi.

Hata hivyo nawapongeza kwa hatua hizi za awali sio mbaya sana.

Jambo la mwisho ambalo nawashauri Chadema waandae mdahalo wa wagombea wao kila mmoja aeleze sera zake jinsi ya kuikwamua Tanzania.

Watakuwa wametengeneza kitu kikubwa Sana kwenye siasa za Tanzania.
 
Ndio inawezekana na tena huyu alie tia nia leo yawezekana anaficha aibu ya kuvunjika mguu kwa kwa tuhuma za ulevi anatutoa kwenye reli.
Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.
 
Mayalla upo sawa kabisa! Hivi mtu kama
1.msigwa aweza kuwa rais?
2.Nyalandu aweza kuwa Rais?
3. Mbowe anaweza kuwa rais wa nchi hii?

Hilo hata mimi nimeliona otherwise watakuwa wanataka wajifiche kwa kichaka hicho waseme mimi nimgombea urais, siunajua kuna issue inawaka moto takukuru???
 
Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!

Jumatatu Njema.
P
Yaani andiko lote limejaa kudhani kuudhani! Ungesema wametia nia wengi kwakua wameshaona kuwa mgombea wa CCm atakua mwepesi...hili ni mojawapo ya maandiko dhaifu na yenye kujipendekeza kuliko yote
 
Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.
We unadhani matusi yatasaidia kujibu zile tuhuma?, mtu katoa tuhuma nzito kama zile dhidi ya serikali kisha wengine wakamjibu kuwa alikuwa kalewa sasa kwanini asije mwenyewe hadharani aeleze kilicho tokea?
 
Jibu Ni hili

Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Kama nyie wanaume kweli ruhusuni uchaguzi huru muone cha moto. Mnachoringia ni rigging na mitutu ya bunduki kulinda wizi wenu.
 
Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Kinaweza tokea kitu mwaka huu ambacho hutoamiani, na uteuzi utakuwa umeukosa
Mungu ni wa wote
 
“nakulipa vizuri,unalala pazuri na una gari zuri halafu umtangaze mpinzani,ihiii!!”
Hawa wapumbavu jeuri yao iko hapa.
Hata hao wanaowanunua wanawaaminisha kuwa mbeleko hii itawabeba hata kama wapiga kura wakiwakataa. Uchaguzi huru na wa haki CCM tunawapiga saa nne asubuhi tu.
FB_IMG_1582080397242.jpg
 
Acha upotoshaji wa kijinga Paskali, kwani ukitia nia ya kugombea urais ndio huwezi kugombea ubunge? Akina Kigwangalla, Makamba, Mwigulu nk wote hao walijitokeza kugombea urais wa ccm, mbona wote ni wabunge hivi sasa?
Huyu Jamaa paskal amekuwa na akili ya kijinga sana.hata huwezi amini wakati vitu viko wazi kabisa kuwa ukishindwa urais unaendeza ubunge Sasa sijui akili akaificha wapi
 
Back
Top Bottom