Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
I know this guy, he's smarter than this, people change aisee 😒Anatafuta sifa kama kawaida yake, huyu nazani huwa hammjui kwa kutafuta sifa ni sawa na yule Ndugu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know this guy, he's smarter than this, people change aisee 😒Anatafuta sifa kama kawaida yake, huyu nazani huwa hammjui kwa kutafuta sifa ni sawa na yule Ndugu yake
Eti na huyu ni mwandishi wa habari!
Huyo jamaa kajaa fitina na uzandiki na mwisho atakuwa ni mchawi
Eti na huyu ni mwandishi wa habari!
Nyie huko kwenye TV na magazeti yenu kwanu hamumtakii huyo nguli ?Huyo ni nguli wa habari sio takataka Kama wewe [emoji23][emoji23]
Kumbe hili jitu bure kabisa!Nawewe acha zako, kwani kutangaza nia ya uraisi kunamwondolea mtu sifa ya kugombea ubunge? Urais kwanza, ukifeli unagombea ubunge. As simple as that
Awe mchawi mara ngapi? Kwa wasukuma uchawi ni jadi, usipokuwa nao hueleweki kama mmasai asiye na ng'ombe.Huyo jamaa kajaa fitina na uzandiki na mwisho atakuwa ni mchawi
Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.Ndio inawezekana na tena huyu alie tia nia leo yawezekana anaficha aibu ya kuvunjika mguu kwa kwa tuhuma za ulevi anatutoa kwenye reli.
Huyu ukabila tu ndiyo unamuongoza ule weledi wote aliokuwa nao ameutupa kuleee.......Nawewe acha zako, kwani kutangaza nia ya uraisi kunamwondolea mtu sifa ya kugombea ubunge? Urais kwanza, ukifeli unagombea ubunge. As simple as that
Yaani andiko lote limejaa kudhani kuudhani! Ungesema wametia nia wengi kwakua wameshaona kuwa mgombea wa CCm atakua mwepesi...hili ni mojawapo ya maandiko dhaifu na yenye kujipendekeza kuliko yoteWanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!
Jumatatu Njema.
P
We unadhani matusi yatasaidia kujibu zile tuhuma?, mtu katoa tuhuma nzito kama zile dhidi ya serikali kisha wengine wakamjibu kuwa alikuwa kalewa sasa kwanini asije mwenyewe hadharani aeleze kilicho tokea?Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.
Kama nyie wanaume kweli ruhusuni uchaguzi huru muone cha moto. Mnachoringia ni rigging na mitutu ya bunduki kulinda wizi wenu.Jibu Ni hili
Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Kinaweza tokea kitu mwaka huu ambacho hutoamiani, na uteuzi utakuwa umeukosaWanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Saa bovu katika ubora wakoTaarifa nilizonazo ni kwamba mchungaji Msigwa amekataa kumuunga mkono Nyalandu kama walivyokubaliana awali hali iliyopelekea Mbowe atie nia ili kuja na plan B.
Inadaiwa mchungaji Msigwa ni pandikizi lenye nguvu za " ghafla"
Maendeleo hayana vyama!
Hawa wapumbavu jeuri yao iko hapa.“nakulipa vizuri,unalala pazuri na una gari zuri halafu umtangaze mpinzani,ihiii!!”
UkabilaSiku zingine una maudhi kweli Pasikali...unabariki uhuni wa CCM!!!
Huyu Jamaa paskal amekuwa na akili ya kijinga sana.hata huwezi amini wakati vitu viko wazi kabisa kuwa ukishindwa urais unaendeza ubunge Sasa sijui akili akaificha wapiAcha upotoshaji wa kijinga Paskali, kwani ukitia nia ya kugombea urais ndio huwezi kugombea ubunge? Akina Kigwangalla, Makamba, Mwigulu nk wote hao walijitokeza kugombea urais wa ccm, mbona wote ni wabunge hivi sasa?