Level za Samadu Hassan au njaa zaidi?
Jirekebishe utaeleweka kwa jamii lkn ukiendelea kutumikia utumbo mpana basi utaendelea kudhalaulika hata na wanaoBila shaka na amini nimekuelewa na nadhani pia umeeleweka na jamii ya JF kuhusu kiwango chako cha kujadili mada. HONGERA SANA - keep it up[emoji111]
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Watu wanajitoa ufahamu sana juu ya hali waliyoipitia wanasiasa wa upinzani katika miaka hii mitano.Aliyepo madarakani ndiye kasababisha wafanye hivyo ndiyo maana wanaeleza weaknesses utawala huu ambao umeshindwa kwelikweli kwenye nyanja zote
Ishu za ulegelege wa vyama vya upinzani umeonesha wazi unafiki maana mimi binafsi naona wapinzani wapo imara ila wale tawala wametumia nguvu ya ziada isiyo ya kisiasa kuwazimisha wapinzani ili wasionekane tena hata katika chaguzi mbalimbali na sasa huu mkuu.
Sema ulegelege wa upinzani niseme ulegelege wa hao unaodai wanaogopwa.
Ndiyo maana siku hizi mkazi wa ikulu mnamwita Yesu hah?Mkuu Kitaturu, katika bandiko lako nimechagua utangulizi, ukimwandama mleta mada, na hitimisho linalaloakisi upande wa kisiasa unaoegemea. Rejea mada yako ifuatayo.
Elections 2020 - Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?
Ni vyema na busara kujikita katika masuala yenye kugusa maendeleo ya Taifa ili kuyahusisha na mtu anayeweza kuyatafsiri kwa vitendo.
Kwa mantiki hiyo, swali la msingi ni je, Rais aliyeko madarakani amelifanyia nini Taifa ili apewe dhamana ya kuliongoza tena.
Katika kujibu swali hilo, basi itakuwa sahihi kujiuliza iwapo watia nia ya kugombea Urais wanaweza kufanya vizuri. Kama wanaweza, ni budi kujiuliza wamefanya nini cha mfano wa kuthibitisha uwezo wao, kwa maana nafasi ya Urais siyo ya majaribio. "Ikulu ni mahala patakatifu", aliasa Baba wa Taifa.
Ndio inawezekana na tena huyu alie tia nia leo yawezekana anaficha aibu ya kuvunjika mguu kwa kwa tuhuma za ulevi anatutoa kwenye reli.
1. tuchukulie hapitishwi kugombea Uraisi na chama, itabidi arudi kwenye Ubunge??Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Siku hizi wanamwita 'Yesu'Pamoja na kusema upinzani legelege nimefurahi kuona umesema Tundu Na Zitto wakisimama watamtia jambajamba JPM.
Watu mnazeeka vibaya
Chadema mwanzo mwisho
[/Q
Mkuu Pascal MayallaWanabodi,

Kwa Tanzania hii inawezekana kaka.Eti na huyu ni mwandishi wa habari!
Mwandishi wa habari mpiga ramli mshirikina na ndio hulka yenu wasukuma.Usingeenda shule ungekua mchawi na unauza uchawiWanabodi,

Pasi(Wasukuma ndiyo tunavyolitamka jina Pascal) njoo ujibu hoja hizi.Mkuu Pascal Mayalla
Chadema kama chama kimepitia hatua nyingi hadi kuwa hapo kama kilivyo
Yapo maamuzi waliyachukua yakasaidia chama lakini pia yapo maamuzi ambayo yalikigharimu chama pia
Kwa mantiki hiyo wamejifunza mengi lakini kikubwa ni kuwa lazima sasa waanze kuonyesha demokrasia kuanzia ndani ya chama, hata kama watakua na mgombea wanao amini anafaa zaidi basi watatumia mbinu za kidemokrasia na kimkakati ili kupitishwa na sio kuzuia watu kutia nia
Uchaguzi uliopita tuliona jinsi Dr Slaa alivyokua ameandaliwa kuwa mgombea urais lakini akatokea Lowassa na gia ikabadilishwa hewani......zipo faida na hasara za maamuzi haya
Uteuzi huu wa kibabe na kunyima fursa wengine wenyesifa nadhani CDM wameona waachane nao......na huu ni mwanzo, itakwenda hadi kwenye nafasi ya mwenyekiti
Tatizo ninalo liona kwa watu wenye hoja kama yako ni mambo matatu
1 mazoea
2 Aibu
3 Magufuli
MAZOEA
Ilikua imezoeleka kwamba CDM uteuzi wa viongozi haswa mgombea urais alipatikana kutokana na msimamo wake na mambo fulani anafanya na kujenga imani anakubalika na jamii....CDM inakua inabidi mambo ya kufanya kusingizia uchanga wa chama yaachwe na demokrasia ifuate mkondo wake
AIBU
Mkuu Paschal hii hoja ni yakitoto sana, siasa za uchaguzi ni kushinda au kushindwa, Inawezekana kabisa kugombea uteuzi wa urais na ukashindwa kukakupa advantage ya kugombea ubunge lakini sio kuleta hoja ya aibu.....hii ndio inafanya vijana na wengi kuogopa kugombea kwa dhana wakishindwa ni AIBU kwao
MAGUFULI
Umejaribu kijenga hoja kwamba inakuaje mtu anataka kupambana na Magufuli kwanamna ambavyo magufuli amefanya "maajabu" nchi hii
Inawezekana JPM ni mzuri kiutendaji kuliko waliopita lakini trust me anamapungufu yake makubwa sana
Watu wanapotezwa, wanabambikiwa kesi, hakuna uhuru wa habari wala kujieleza, Bunge limekua la kihuni sana chini ya JPM, uvunjifu mkubwa wa katiba, maisha yamebana kuliko wakati wowote nk nk
Hitimisho
Nikweli wabunge wengi wa CDM hawatarudi bungeni kasababu zilizo wazi tofauti na ulizotaja wewe
Wapo watakao rudi kwa tiketi ya CCM (wamefika bei) na wapo ambao tayari walikwisha kurudi na uwaziri wakapata nk
Ukichukua tume isio huru ukijumlisha na kauli na matendo ya viongozi akiwemo JPM mwenyewe kuhusu upinzani, basi hauhitaji tochi wala sayansi ya roketi kujua CCM italazimisha ushindi wa asilimia wazitakazo wao huku wakitumia puppet opposition parties kuonyesha dunia demokrasia Tz ipo......
Point less!Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
?ccm kushinda kwa 99.9%..?..naona hoja yako imejengwa...kupitia Huyo mtabiri...TAIFA LA WAPIGA RAMLI!!!!!!!!!Wanabodi,

Eti imetabiriwa.....daaah aisee nyie watu akili mnaziweka wapi?au kichwani yamejaaa Mavi....Jibu Ni hili
Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Habari ndio hiyoEti imetabiriwa.....daaah aisee nyie watu akili mnaziweka wapi?au kichwani yamejaaa Mavi....