Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Bila shaka na amini nimekuelewa na nadhani pia umeeleweka na jamii ya JF kuhusu kiwango chako cha kujadili mada. HONGERA SANA - keep it up[emoji111]
Jirekebishe utaeleweka kwa jamii lkn ukiendelea kutumikia utumbo mpana basi utaendelea kudhalaulika hata na wanao
 
Wee pasco ni msengee, kaniseme nipigwe ban
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
 
Unaandika vitu vya kijinga halafu hutaki usemwe, utasemwa tu mpaka uache ujinga wako.

Kutangaza nia ya kugombea urais ni zoezi la mwanzo kabisa, baada ya hapo patafanyika mchujo apatikane mgombea mmoja atakae peperusha bendera ya CDM, sasa hao wwngine wataenda wapi? waaiporudi kwenye majimbo yao hawatarudi kwa uoga wao lakini sio kwasababu ya kutangaza nia kugombea Urais.

Wakati mwingine wacha kukurupuka kuanzisha mada.
 
Aliyepo madarakani ndiye kasababisha wafanye hivyo ndiyo maana wanaeleza weaknesses utawala huu ambao umeshindwa kwelikweli kwenye nyanja zote

Ishu za ulegelege wa vyama vya upinzani umeonesha wazi unafiki maana mimi binafsi naona wapinzani wapo imara ila wale tawala wametumia nguvu ya ziada isiyo ya kisiasa kuwazimisha wapinzani ili wasionekane tena hata katika chaguzi mbalimbali na sasa huu mkuu.

Sema ulegelege wa upinzani niseme ulegelege wa hao unaodai wanaogopwa.
Watu wanajitoa ufahamu sana juu ya hali waliyoipitia wanasiasa wa upinzani katika miaka hii mitano.

Hata kukutana na wapiga kura wao walikuw hawaruhusiwi japo ni wawakilishi wa wananchi.

Kila siku kuwindwa kama digidigi kuna madiwani hata miji yao waliikimbia kwa kukwepa shari , walioona heri wasalimishe roho zao wakaamua kuunga juhudi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kitaturu, katika bandiko lako nimechagua utangulizi, ukimwandama mleta mada, na hitimisho linalaloakisi upande wa kisiasa unaoegemea. Rejea mada yako ifuatayo.
Elections 2020 - Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?
Ni vyema na busara kujikita katika masuala yenye kugusa maendeleo ya Taifa ili kuyahusisha na mtu anayeweza kuyatafsiri kwa vitendo.

Kwa mantiki hiyo, swali la msingi ni je, Rais aliyeko madarakani amelifanyia nini Taifa ili apewe dhamana ya kuliongoza tena.

Katika kujibu swali hilo, basi itakuwa sahihi kujiuliza iwapo watia nia ya kugombea Urais wanaweza kufanya vizuri. Kama wanaweza, ni budi kujiuliza wamefanya nini cha mfano wa kuthibitisha uwezo wao, kwa maana nafasi ya Urais siyo ya majaribio. "Ikulu ni mahala patakatifu", aliasa Baba wa Taifa.
Ndiyo maana siku hizi mkazi wa ikulu mnamwita Yesu hah?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ndio inawezekana na tena huyu alie tia nia leo yawezekana anaficha aibu ya kuvunjika mguu kwa kwa tuhuma za ulevi anatutoa kwenye reli.
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
1. tuchukulie hapitishwi kugombea Uraisi na chama, itabidi arudi kwenye Ubunge??
Na Je haiba yake katika kuendelea kuwa Kiongozi wa Chama inakuwaje??
Au ndio anaachana na siasa Kabisa.
2.Anapitishwa na Vyama kugombea , hivyo ataepuka kinachosemwa hapa maana hawezi kugombea "two position at a time",

Lakini hatua hii itakuwa na matokeo gani kichama na kwa watia nia ya uraisi wengine ktk chama
 
Paskali this is your worst thread ever. Kama ingekuwa ni kuficha aibu, kwani pale watakaposhindwa kupata urais aibu haitokuwepo? Pia kwa nini wamwachie Tundu Lissu pekee. Huo ni mchezo mbovu was CCM ambapo fomu 1 tu ya urais imetengenezwa. Kama yanayofanywa na CCM yaani itengenezwe fomu 1 tu ya Mbowe yangefanywa na CHADEMA dah! mapovu ya wanalumumba yangetosha kujaza bahari ya Hindi!
Watu mnazeeka vibaya

Chadema mwanzo mwisho
[/Q
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Mkuu Pascal Mayalla

Chadema kama chama kimepitia hatua nyingi hadi kuwa hapo kama kilivyo
Yapo maamuzi waliyachukua yakasaidia chama lakini pia yapo maamuzi ambayo yalikigharimu chama pia
Kwa mantiki hiyo wamejifunza mengi lakini kikubwa ni kuwa lazima sasa waanze kuonyesha demokrasia kuanzia ndani ya chama, hata kama watakua na mgombea wanao amini anafaa zaidi basi watatumia mbinu za kidemokrasia na kimkakati ili kupitishwa na sio kuzuia watu kutia nia

Uchaguzi uliopita tuliona jinsi Dr Slaa alivyokua ameandaliwa kuwa mgombea urais lakini akatokea Lowassa na gia ikabadilishwa hewani......zipo faida na hasara za maamuzi haya
Uteuzi huu wa kibabe na kunyima fursa wengine wenyesifa nadhani CDM wameona waachane nao......na huu ni mwanzo, itakwenda hadi kwenye nafasi ya mwenyekiti

Tatizo ninalo liona kwa watu wenye hoja kama yako ni mambo matatu
1 mazoea
2 Aibu
3 Magufuli

MAZOEA
Ilikua imezoeleka kwamba CDM uteuzi wa viongozi haswa mgombea urais alipatikana kutokana na msimamo wake na mambo fulani anafanya na kujenga imani anakubalika na jamii....CDM inakua inabidi mambo ya kufanya kusingizia uchanga wa chama yaachwe na demokrasia ifuate mkondo wake

AIBU
Mkuu Paschal hii hoja ni yakitoto sana, siasa za uchaguzi ni kushinda au kushindwa, Inawezekana kabisa kugombea uteuzi wa urais na ukashindwa kukakupa advantage ya kugombea ubunge lakini sio kuleta hoja ya aibu.....hii ndio inafanya vijana na wengi kuogopa kugombea kwa dhana wakishindwa ni AIBU kwao

MAGUFULI
Umejaribu kijenga hoja kwamba inakuaje mtu anataka kupambana na Magufuli kwanamna ambavyo magufuli amefanya "maajabu" nchi hii
Inawezekana JPM ni mzuri kiutendaji kuliko waliopita lakini trust me anamapungufu yake makubwa sana
Watu wanapotezwa, wanabambikiwa kesi, hakuna uhuru wa habari wala kujieleza, Bunge limekua la kihuni sana chini ya JPM, uvunjifu mkubwa wa katiba, maisha yamebana kuliko wakati wowote nk nk

Hitimisho
Nikweli wabunge wengi wa CDM hawatarudi bungeni kasababu zilizo wazi tofauti na ulizotaja wewe

Wapo watakao rudi kwa tiketi ya CCM (wamefika bei) na wapo ambao tayari walikwisha kurudi na uwaziri wakapata nk

Ukichukua tume isio huru ukijumlisha na kauli na matendo ya viongozi akiwemo JPM mwenyewe kuhusu upinzani, basi hauhitaji tochi wala sayansi ya roketi kujua CCM italazimisha ushindi wa asilimia wazitakazo wao huku wakitumia puppet opposition parties kuonyesha dunia demokrasia Tz ipo......
 
Mwandishi wa habari mpiga ramli mshirikina na ndio hulka yenu wasukuma.Usingeenda shule ungekua mchawi na unauza uchawi
 
Pasi(Wasukuma ndiyo tunavyolitamka jina Pascal) njoo ujibu hoja hizi.
 
Point less!
 
Ok Ni swali zuri. Umesema huenda pengine wanaotia Nia ya kugombea Urais katika chama Cha chadema inawezakuwa Ni kujificha aibu ya kuogopa kuumvuka kwa ushindi wa CCM katka uchaguzi ujao baada ya kuona wanaweza kuanguka kutokana na mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa awamu ya tano Dr John Pombe Magufuli ambaye ametokana na chama Cha mapinduzi. Nijibu Kama ifuatavyo hoja yako

Sio kweli Ni kutangaza Nia ya Urais Ni kukwepa aibu ya kushindwa katika uchaguzi ujao, Bali Ni upana wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa.Lkn pia upatikanaji wa Mgombea wa Urais Ni mchakato ambao lazima uchambuzi yakinifu ufanyike, na haiwezi kufanyika bila kuwapata wagombea wengi. Ili chama kiweze kupata Mgombea mzuri ambae ana mvuto lazima masikio ya went mamlaka katka chama wapate waliowengi ili kupata aliye Bora. Wataalamu wanasema if you want to get pure you must have many.
Lkn pia japo sijajua Sana kutangaza Nia Sio kuteuliwa kuwania Urais. Mtu anawrza akatangaza Nia ya kuteuliwa kuwania Urais na asiteuliwe then akarudi Tena jimboni kwenda kuomba ridhaa ya kugombea ubunge. Ndo maana mbunge wa iringa mjini Mch. Peter Msigwa(CHADEMA) alisema ametangaza Nia ya kugombea Urais ,Kama chama chake hakitamteua kugombea Basi atarudi jimboni kwenda kugombea ubunge. Na wale wapinzani wake waendelee kuomba kwamba chama kimteue kugombea uras lkn kisipomteua ataenda kupambana nao kwenye ubunge kule Iringa mjini

Kwahiyo nimalizie tu kwa kusema nafikiri Kuna kanuni ambazo vyama vya siasa hususani Chadema wameweka kwamba mtu anaweza akatangaza Nia ya Urais na mchakato ukafamyika akashndwa na akrudi Tena kugombea ubunge.
Sijui km nitakuwa nimejibu vyema Kaka Pascal Mayalla
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
?ccm kushinda kwa 99.9%..?..naona hoja yako imejengwa...kupitia Huyo mtabiri...TAIFA LA WAPIGA RAMLI!!!!!!!!!
 
Jibu Ni hili

Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Eti imetabiriwa.....daaah aisee nyie watu akili mnaziweka wapi?au kichwani yamejaaa Mavi....
 
Back
Top Bottom