Calvin 45
Member
- Aug 7, 2019
- 7
- 0
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu.
Naombeni msaada wenu wa mawazo.