chuo kisha mkopoNa vipi kuhusu kuomba chuo na kuomba mkopo kipi kinaanza kwanza. je, unatakiwa kuomba chuo kwanza ndiyo uombe mkopo ama inakuwaje hapo wakuu. msaada weni ni muhimu sanaa
Chochote utakachoanza hakuna shida wewe apply tu.Na vipi kuhusu kuomba chuo na kuomba mkopo kipi kinaanza kwanza. je, unatakiwa kuomba chuo kwanza ndiyo uombe mkopo ama inakuwaje hapo wakuu. msaada weni ni muhimu sanaa