Je Kuna Vita kati ya Watanganyika na Wazanzibari

Je Kuna Vita kati ya Watanganyika na Wazanzibari

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari za Wakati huu;
Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo

Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari au Utanganyika.Mwenye kuelewa kinachoendele anijuze
 
Hamna vita, vita iko kati ya wanasiasa
 
Suluhisho ni Muungano wa serikali moja. Zanzibar iwe mikoa miwili tu, Unguja na Pemba.
 
Nadhani mambo yanaanza mdogo mdogo Mwisho yatakua kwa ukubwa wake, tuacheni na mambo ya udini na ukabila, Lakini nashangaa sisi wa bara hatuajiriki zenji Lakini wazenji ruksa na wanaajirika huku, Kwanini?
 
Ipo mbona muda mrefu tu, ila sura na maumbo tu yanabadilika kulingana na nyakati.
 
Muungano wa kipuuzi Wazanzibar wamekuwa kama mbung'o wanyonya damu,naomba leo kesho huu Muungano ufe.
 
Back
Top Bottom