Habari za Wakati huu;
Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo
Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari au Utanganyika.Mwenye kuelewa kinachoendele anijuze
Wanasiasa wa Tanganyika vs wanasiasa wa zanzibar?