Je kuna vita ya mafisadi na Wazalendo Tanzania?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida
1. Warioba na Tibaijuka kutishwa
2. Lissu kufunguliwa kesi
3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana
4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea upatikanaji wa katiba mpya
5. Utekaji wa polepole ambaye alikuwa mtetezi wa katiba mpya
6. Utekaji wa vijana wengi wanaopigania mabadiliko
7. Kutishiwa kwa wanaharakati wanaotaka katiba mpya

Hii inaonyesha bila kujali vyama vita ya sasa ni ya mafisadi na wazalendo
 
na yule kiongozi aliyetishia kupoteza madereva ndiye muhusika mkuu!
 
Vita iliyopo ni baina ya kakikundi kadogo cha watu wachache waitwao CCM na wananchi wa Tanzania wanaowakilishwa na Tundu Lissu na chama kiitwacho CHADEMA katika kupambania Tanzania ya haki, kweli , mgawanyo sawa wa keki ya taifa, uchaguzi wa huru na wa haki, na uwajibikaji wa viongozi wa umma/serikali.
 
Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida
1. Warioba na Tibaijuka kutishwa
2. Lissu kufunguliwa kesi
3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana
4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea upatikanaji wa katiba mpya
5. Utekaji wa polepole ambaye alikuwa mtetezi wa katiba mpya
6. Utekaji wa vijana wengi wanaopigania mabadiliko
7. Kutishiwa kwa wanaharakati wanaotaka katiba mpya

Hii inaonyesha bila kujali vyama vita ya sasa ni ya mafisadi na wazalendo

Kwamba leo huyo bibi Tibaijuka kua nje ya serikali huku akitamani kua ndani ya serikali na tamaa zake ndio mzalendo? Au kwavile anapiga mayowe kwa sauti ya upinzani?
Tibaijuka is among very useless politician in Tanzania.

Kwamba Mzee Warioba,
licha wa kutumikia serikali miaka mingi na hana rekodi yoyote ya kazi iliyotukuka kwenye utumishi wake, leo kupiga mayowe kinafiki kwa sauti ya upinzani eti ndio mzalendo?
This is pure nonsense gentleman.

Lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni wakala wa mambo ya fedheha na aibu sana ya jinsia moja, ni aibu hata kuyaeleza. Mtu huyo ni useless kabisa nchini na hawezi kua mzalendo huku kaolewa ng'ambo na janaume lenzie.

hayo mengine ni porojo nonsense tu gentleman 🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 11
Uzi una maneno machache lakini unafikilisha sana tena sana.

I think kama Vita za kichama zimeisha vile but kuna vita za pande hizo mbili ambazo ukiangalia kiundani unaona hao wanaopigana hizo vita wanajiegemeza kwenye hivyo vyama vya siasa kama kivuli tu.
 
Ukitaka kujua minyumbu ni mijitu mipumbavu, soma hoja na.5 🤣🤣🤣

Na ukitaka kujua ndani ya JF kumbe kuna wendawazimu, soma michango ya Dr wa Manesi, Kavulata, Mwashambwa na Tlaatlaah.
 
Kwamba leo huyo bibi Tibaijuka kua nje ya serikali huku akitamani kua ndani ya serikali na tamaa zake ndio mzalendo? Au kwavile anapiga mayowe kwa sauti ya upinzani?
Tibaijuka is among very useless politician in Tanzania.

Kwamba Mzee Warioba,
licha wa kutumikia serikali miaka mingi na hana rekodi yoyote ya kazi iliyotukuka kwenye utumishi wake, leo kupiga mayowe kinafiki kwa sauti ya upinzani eti ndio mzalendo?
This is pure nonsense gentleman.

Lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni wakala wa mambo ya fedheha na aibu sana ya jinsia moja, ni aibu hata kuyaeleza. Mtu huyo ni useless kabisa nchini na hawezi kua mzalendo huku kaolewa ng'ambo na janaume lenzie.

hayo mengine ni porojo nonsense tu gentleman 🐒

Ulivyoandika hoja yako, sidhani kuna mtu mwenye uwendawazimu wa kiwangocha juu kabisa ndani ya JF kukuzidi wewe! Hata Dr wa manesi, hakika hakufikii.
 
Ulivyoandika hoja yako, sidhani kuna mtu mwenye uwendawazimu ndani ya JF kukuzidi.
tuliza mihemko useless bas jukwaani na itapendeza zaidi,

I'm sorry for saying that light truth 🐒
 
Kwamba leo huyo bibi Tibaijuka kua nje ya serikali huku akitamani kua ndani ya serikali na tamaa zake ndio mzalendo? Au kwavile anapiga mayowe kwa sauti ya upinzani?
Tibaijuka is among very useless politician in Tanzania.

Kwamba Mzee Warioba,
licha wa kutumikia serikali miaka mingi na hana rekodi yoyote ya kazi iliyotukuka kwenye utumishi wake, leo kupiga mayowe kinafiki kwa sauti ya upinzani eti ndio mzalendo?
This is pure nonsense gentleman.

Lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni wakala wa mambo ya fedheha na aibu sana ya jinsia moja, ni aibu hata kuyaeleza. Mtu huyo ni useless kabisa nchini na hawezi kua mzalendo huku kaolewa ng'ambo na janaume lenzie.

hayo mengine ni porojo nonsense tu gentleman 🐒

Tatizo lako huwezi kuwaelewa watu wenye akili ambao sio machawa kama Tibaijuka, Lissu na Warioba.

Hii katiba imeandikwa na Warioba na Msekwa kwa akili yako Nyerere angewezaje kumuamini warioba kwa kiasi hicho. Nyerere hakua kilaza kama huyu Mama

Sasa Mama Tibaijuka utamlinganisha na hili janga tulio nalo
 
kuwazingatia au kuwasikiza watu useless kama hao ambao hawana track records za maendeleo wakati wa utumishi wao ni kujisababishia umaskini wa fikra wa kisasa gentleman.

hao ni watu bure kabisa Tanzania 🐒
 
watu ambao sio useless ni wakina nani?
 
Back
Top Bottom