na yule kiongozi aliyetishia kupoteza madereva ndiye muhusika mkuu!Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida
1. Warioba na Tibaijuka kutishwa
2. Lissu kufunguliwa kesi
3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana
4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea upatikanaji wa katiba mpya
5. Utekaji wa polepole ambaye alikuwa mtetezi wa katiba mpya
6. Utekaji wa vijana wengi wanaopigania mabadiliko
7. Kutishiwa kwa wanaharakati wanaotaka katiba mpya
Hii inaonyesha bila kujali vyama vita ya sasa ni ya mafisadi na wazalendo
Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida
1. Warioba na Tibaijuka kutishwa
2. Lissu kufunguliwa kesi
3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana
4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea upatikanaji wa katiba mpya
5. Utekaji wa polepole ambaye alikuwa mtetezi wa katiba mpya
6. Utekaji wa vijana wengi wanaopigania mabadiliko
7. Kutishiwa kwa wanaharakati wanaotaka katiba mpya
Hii inaonyesha bila kujali vyama vita ya sasa ni ya mafisadi na wazalendo
We unaota, au?!!π€£π€£π€£Ukitaka kujua mashetani ya CCM yamepagawa, msome Dr wa Manesi .
Ukitaka kujua minyumbu ni mijitu mipumbavu, soma hoja na.5 π€£π€£π€£
Kwamba leo huyo bibi Tibaijuka kua nje ya serikali huku akitamani kua ndani ya serikali na tamaa zake ndio mzalendo? Au kwavile anapiga mayowe kwa sauti ya upinzani?
Tibaijuka is among very useless politician in Tanzania.
Kwamba Mzee Warioba,
licha wa kutumikia serikali miaka mingi na hana rekodi yoyote ya kazi iliyotukuka kwenye utumishi wake, leo kupiga mayowe kinafiki kwa sauti ya upinzani eti ndio mzalendo?
This is pure nonsense gentleman.
Lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni wakala wa mambo ya fedheha na aibu sana ya jinsia moja, ni aibu hata kuyaeleza. Mtu huyo ni useless kabisa nchini na hawezi kua mzalendo huku kaolewa ng'ambo na janaume lenzie.
hayo mengine ni porojo nonsense tu gentleman π
tuliza mihemko useless bas jukwaani na itapendeza zaidi,Ulivyoandika hoja yako, sidhani kuna mtu mwenye uwendawazimu ndani ya JF kukuzidi.
Kwamba leo huyo bibi Tibaijuka kua nje ya serikali huku akitamani kua ndani ya serikali na tamaa zake ndio mzalendo? Au kwavile anapiga mayowe kwa sauti ya upinzani?
Tibaijuka is among very useless politician in Tanzania.
Kwamba Mzee Warioba,
licha wa kutumikia serikali miaka mingi na hana rekodi yoyote ya kazi iliyotukuka kwenye utumishi wake, leo kupiga mayowe kinafiki kwa sauti ya upinzani eti ndio mzalendo?
This is pure nonsense gentleman.
Lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni wakala wa mambo ya fedheha na aibu sana ya jinsia moja, ni aibu hata kuyaeleza. Mtu huyo ni useless kabisa nchini na hawezi kua mzalendo huku kaolewa ng'ambo na janaume lenzie.
hayo mengine ni porojo nonsense tu gentleman π
kuwazingatia au kuwasikiza watu useless kama hao ambao hawana track records za maendeleo wakati wa utumishi wao ni kujisababishia umaskini wa fikra wa kisasa gentleman.Tatizo lako huwezi kuwaelewa watu wenye akili ambao sio machawa kama Tibaijuka, Lissu na Warioba.
Hii katiba imeandikwa na Warioba na Msekwa kwa akili yako Nyerere angewezaje kumuamini warioba kwa kiasi hicho. Nyerere hakua kilaza kama huyu Mama
Sasa Mama Tibaijuka utamlinganisha na hili janga tulio nalo
kuwazingatia au kuwasikiza watu useless kama hao ambao hawana track records za maendeleo wakati wa utumishi wao ni kujisababishia umaskini wa fikra wa kisasa gentleman.
hao ni watu bure kabisa Tanzania π
ni useful pekee πwatu ambao sio useless ni wakina nani?