P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
-
- #21
ame base zaidi kwenye kutumia akili ku focus kwenye milango ya fahamu tuuwezo zaidi ya hapo amepewa binadamu, ila binadamu ana mambo mengi sana mara nyingi haoni wala kusikia.
Mara baada ya anguko la Mwanadamu pale bustanini kilankitu kiliharibika mkuu.Ndo ilivyo mkuu, Binadamu tumefungwa na mengi, laiti tungekuwa tunayaona kama wanyama tungekuwa na muda mchache sana wa kuishi
Ni sahihi mkuu. Ile pumzi ya uhai iliyopulizwa wakati wa uumbaji inasema nasi ila sisi tunapuuzia mkuu.Mtu ni roho. Na kila roho ina sauti, wengine huuita machale. Kwa aliyejifunza kuisikiliza sauti ya roho yake huweza kutambua mambo kabla ya kutukia.
Kweli kabisaMwanadamu anao uwezo huo sema ndio hvyo tumeshajispoil na ubatili na kila aina ya uchafu wa hii dunia. Japo kuna wachache wanajaribu ku regain huu uwezo kupitia meditation. Mwanadamu usimchukulie poa kihivyo.
We kila saa unawaza ngono na kupinga uwepo wa Mungu utakuwa na uwezo huo? Wengine tunao na hatujaufich, unatenda kazi ila kwako ndio umejifucha. ππππHuu uwezo upo ndani yetu tumeuficha mwenyewe .
Wanyamapori wanajua sana dawa za mitishambauwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...
wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,
Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya Majanga ya asili,
Jinsi ndege wanavyo acha makazi yao na kuhama muda mfupi kabla ya Volkano kulipuka.
Je kuna sababu nyuma ya hilo au hutokea tuu ?.
Baadhi ya Matukio yaliyoweza kurekodiwa
Mwaka 2004 ilitokea Tsunami katika bahari ya Hindi,
Tsunami ni tetemeko la chini ya bahari ambalo husababisha maji ya bahari kuhama na kwenda kwenye maeneo ya karibu, husababisha madhara makubwa, kubeba magari, nyumba kuharibu miundombinu n.k
Thailand na Srilanka ni moja ya nchi zilizoathiriwa sana na Tsunami ya bahari ya Hindi,
nchi hizo hua kuna utalii wa tembo ambapo tembo hutumiwa kubeba watu kwenye fukwe za bahari kama utalii,
Masaa kadhaa kabla ya Tsunami, tembo walikataa kubeba watalii walionekana na hofu na walikua wanakimbilia kwenye sehemu za miinuko mbali na ufukwe.
kisa kingine:
Siku tano kabla ya tetemeko kubwa la china "Haicheng Earthquake" mbwa walikua hawapoi wanabweka mda wote hawataki kuingia ndani,
hicho kigezo kikafanya serikali itoe tahadhari kwa wananchi.
Tetemeko kubwa likapita ila pia wengi walichukua tahadhari kutokana na kilichoonyeshwa na mbwa hivyo watu wengi wakapona
hiyo ni baadhi tu ya mifano ambapo kabla ya majanga makubwa ya asili wanyama wamekua wakijihami,
nyoka wanatoka kwenye mashimo yao, vyura wanahama, samaki wanatapatapa, kabla ya majanga ya asili.
Mwaka jana, masaa kadhaa kabla ya maporomoko ya mlima Hanang' Manyara, wanyama walihama kutoka mlimani.
Sayansi Inasemaje ?, wanyama wanajua nini ambacho binadamu hatujui ?:
kwa miaka kadhaa wanasayansi wamekua na majibu mbalimbali kuhusiana na jambo hili,
wakieleza kwa theories mbalimbali kama vile
"wanyama wana uwezo mkubwa wa kutambua mabadiliko madogo kwenye mazingira aambayo huonekana kabla ya majanga makubwa kutokea"
Ni Imani au Ni Uhalisia ?: watu wa kale walielezeaje swala hili ?
uwezo wa wanyama kutambua hatari kabla haijatokea umeshuhudiwa tangu zamani zaidi ya mamia ya miaka iliyopita,
vitabu vya kale vya historia mfano vya wagiriki vilisha elezea tabia ya wanyama kabla ya kutokea majanga mbalimbali ya asili ya kipindi hiko nao waliamini kua wanyama wanatumwa na miungu kuleta ujumbe,
Je ulishawahi kusikia kuhusiana na tabia za wanyama mbalimbali, muda mfupi kabla ya majanga ya asili kama tetemeko volcano etc...
wanyama wanawezaje kugundua na kujihami kabla ?
binadamu pia ni mnyama lakini kwanini hana uwezo wa kugundua ?
Mkuu nawazaje ngono ? Kwa sababu swala la Mungu tayari nina uhakika hayupo π€We kila saa unawaza ngono na kupinga uwepo wa Mungu utakuwa na uwezo huo? Wengine tunao na hatujaufich, unatenda kazi ila kwako ndio umejifucha. ππππ
Ni kweli nguru we na mbwa hutumika kunusa madawa ya kulevyauwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...
wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,
Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya Majanga ya asili,
Jinsi ndege wanavyo acha makazi yao na kuhama muda mfupi kabla ya Volkano kulipuka.
Je kuna sababu nyuma ya hilo au hutokea tuu ?.
Baadhi ya Matukio yaliyoweza kurekodiwa
Mwaka 2004 ilitokea Tsunami katika bahari ya Hindi,
Tsunami ni tetemeko la chini ya bahari ambalo husababisha maji ya bahari kuhama na kwenda kwenye maeneo ya karibu, husababisha madhara makubwa, kubeba magari, nyumba kuharibu miundombinu n.k
Thailand na Srilanka ni moja ya nchi zilizoathiriwa sana na Tsunami ya bahari ya Hindi,
nchi hizo hua kuna utalii wa tembo ambapo tembo hutumiwa kubeba watu kwenye fukwe za bahari kama utalii,
Masaa kadhaa kabla ya Tsunami, tembo walikataa kubeba watalii walionekana na hofu na walikua wanakimbilia kwenye sehemu za miinuko mbali na ufukwe.
kisa kingine:
Siku tano kabla ya tetemeko kubwa la china "Haicheng Earthquake" mbwa walikua hawapoi wanabweka mda wote hawataki kuingia ndani,
hicho kigezo kikafanya serikali itoe tahadhari kwa wananchi.
Tetemeko kubwa likapita ila pia wengi walichukua tahadhari kutokana na kilichoonyeshwa na mbwa hivyo watu wengi wakapona
hiyo ni baadhi tu ya mifano ambapo kabla ya majanga makubwa ya asili wanyama wamekua wakijihami,
nyoka wanatoka kwenye mashimo yao, vyura wanahama, samaki wanatapatapa, kabla ya majanga ya asili.
Mwaka jana, masaa kadhaa kabla ya maporomoko ya mlima Hanang' Manyara, wanyama walihama kutoka mlimani.
Sayansi Inasemaje ?, wanyama wanajua nini ambacho binadamu hatujui ?:
kwa miaka kadhaa wanasayansi wamekua na majibu mbalimbali kuhusiana na jambo hili,
wakieleza kwa theories mbalimbali kama vile
"wanyama wana uwezo mkubwa wa kutambua mabadiliko madogo kwenye mazingira aambayo huonekana kabla ya majanga makubwa kutokea"
Ni Imani au Ni Uhalisia ?: watu wa kale walielezeaje swala hili ?
uwezo wa wanyama kutambua hatari kabla haijatokea umeshuhudiwa tangu zamani zaidi ya mamia ya miaka iliyopita,
vitabu vya kale vya historia mfano vya wagiriki vilisha elezea tabia ya wanyama kabla ya kutokea majanga mbalimbali ya asili ya kipindi hiko nao waliamini kua wanyama wanatumwa na miungu kuleta ujumbe,
Je ulishawahi kusikia kuhusiana na tabia za wanyama mbalimbali, muda mfupi kabla ya majanga ya asili kama tetemeko volcano etc...
wanyama wanawezaje kugundua na kujihami kabla ?
binadamu pia ni mnyama lakini kwanini hana uwezo wa kugundua ?
Sio kwa hawa wanyama wa sasa. Hata kakakuona wa zama za leo nahisi ameshageuka na kuwa dadakuona. Hawezi hata kutabiri ukweli wa mamboπNi kweli nguru we na mbwa hutumika kunusa madawa ya kulevya
Pale SUA Kuna panya hutumika kunususa land mine
Kwenye vyuo vikuu tafiti zifanyike wanyama watumike kutabirinmajanga na na mabadiliko ya tabia nchi
hakika! Hata ajali kuna watu wanaweza kuona i akavyotokea.Kweli kabisa
Binadamu ana uwezo mkubwa pia ila akitaka kusema anaogopa watasema mchawi au uchimvi
Kuna watu huwa wanajua kifo cha mtu ila huwa wanasema baadae sana kuwa aliambiwa
Sijui huwa wanaambiwa na nani? π
au labda Tsunami au volcano ikiamua kuja kwaajili ya binadamu, wanyama wasiohusika wanajikuta wameondokaNaamini wanadamu tunao uwezo mkubwa kuzidi hapo ila hatutilii maanani mazingira yetu na hasa nguvu ya kiroho tuliyonayo
Usitusingizie mkuu!Ni sahihi mkuu. Ile pumzi ya uhai iliyopulizwa wakati wa uumbaji inasema nasi ila sisi tunapuuzia mkuu.