Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

Mwanadamu anao uwezo huo sema ndio hvyo tumeshajispoil na ubatili na kila aina ya uchafu wa hii dunia. Japo kuna wachache wanajaribu ku regain huu uwezo kupitia meditation. Mwanadamu usimchukulie poa kihivyo.
 
Nlirud night kali from kumwagilia moyo...nkapita toilet kuna kapaka kadogo kakawa kanatoa mlio flan hivii...nikapotezea ila kuna nafs ikawa inasema lazma kuna ktu hapa...ile narud nakutana na bonge la cobra corridoni....pombe ilikata yote lkn kiume nlimuuwa.. kwa shot moja tuu...
 
Ndo ilivyo mkuu, Binadamu tumefungwa na mengi, laiti tungekuwa tunayaona kama wanyama tungekuwa na muda mchache sana wa kuishi
Mara baada ya anguko la Mwanadamu pale bustanini kilankitu kiliharibika mkuu.

Dhambi ndio chanzo cha hayo yote. Sasa tumekosa utulivu wa kungoja na kusikiliza ile "sauti ndogo na laini inayosema nasi" sasa tunawaza mambo mengi so haturuhusu ile "pumzi ya uhai iseme nasi kuhusu maisha yetu"

Nature inasema nasi ila pia tunaipuuzia na hatutilii maanani tena ila wanyama wao wanatii.
 
Mwanadamu anao uwezo huo sema ndio hvyo tumeshajispoil na ubatili na kila aina ya uchafu wa hii dunia. Japo kuna wachache wanajaribu ku regain huu uwezo kupitia meditation. Mwanadamu usimchukulie poa kihivyo.
Kweli kabisa
Binadamu ana uwezo mkubwa pia ila akitaka kusema anaogopa watasema mchawi au uchimvi
Kuna watu huwa wanajua kifo cha mtu ila huwa wanasema baadae sana kuwa aliambiwa
Sijui huwa wanaambiwa na nani? 😄
 
uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...

wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,

Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya Majanga ya asili,

Jinsi ndege wanavyo acha makazi yao na kuhama muda mfupi kabla ya Volkano kulipuka.

Je kuna sababu nyuma ya hilo au hutokea tuu ?.

Baadhi ya Matukio yaliyoweza kurekodiwa

Mwaka 2004 ilitokea Tsunami katika bahari ya Hindi,
Tsunami ni tetemeko la chini ya bahari ambalo husababisha maji ya bahari kuhama na kwenda kwenye maeneo ya karibu, husababisha madhara makubwa, kubeba magari, nyumba kuharibu miundombinu n.k

Thailand na Srilanka ni moja ya nchi zilizoathiriwa sana na Tsunami ya bahari ya Hindi,

nchi hizo hua kuna utalii wa tembo ambapo tembo hutumiwa kubeba watu kwenye fukwe za bahari kama utalii,

Masaa kadhaa kabla ya Tsunami, tembo walikataa kubeba watalii walionekana na hofu na walikua wanakimbilia kwenye sehemu za miinuko mbali na ufukwe.

kisa kingine:
Siku tano kabla ya tetemeko kubwa la china "Haicheng Earthquake" mbwa walikua hawapoi wanabweka mda wote hawataki kuingia ndani,
hicho kigezo kikafanya serikali itoe tahadhari kwa wananchi.
Tetemeko kubwa likapita ila pia wengi walichukua tahadhari kutokana na kilichoonyeshwa na mbwa hivyo watu wengi wakapona

hiyo ni baadhi tu ya mifano ambapo kabla ya majanga makubwa ya asili wanyama wamekua wakijihami,
nyoka wanatoka kwenye mashimo yao, vyura wanahama, samaki wanatapatapa, kabla ya majanga ya asili.

Mwaka jana, masaa kadhaa kabla ya maporomoko ya mlima Hanang' Manyara, wanyama walihama kutoka mlimani.

Sayansi Inasemaje ?, wanyama wanajua nini ambacho binadamu hatujui ?:

kwa miaka kadhaa wanasayansi wamekua na majibu mbalimbali kuhusiana na jambo hili,
wakieleza kwa theories mbalimbali kama vile

"wanyama wana uwezo mkubwa wa kutambua mabadiliko madogo kwenye mazingira aambayo huonekana kabla ya majanga makubwa kutokea"

Ni Imani au Ni Uhalisia ?: watu wa kale walielezeaje swala hili ?

uwezo wa wanyama kutambua hatari kabla haijatokea umeshuhudiwa tangu zamani zaidi ya mamia ya miaka iliyopita,

vitabu vya kale vya historia mfano vya wagiriki vilisha elezea tabia ya wanyama kabla ya kutokea majanga mbalimbali ya asili ya kipindi hiko nao waliamini kua wanyama wanatumwa na miungu kuleta ujumbe,

Je ulishawahi kusikia kuhusiana na tabia za wanyama mbalimbali, muda mfupi kabla ya majanga ya asili kama tetemeko volcano etc...
wanyama wanawezaje kugundua na kujihami kabla ?
binadamu pia ni mnyama lakini kwanini hana uwezo wa kugundua ?
Wanyamapori wanajua sana dawa za mitishamba
 
Binadamu wapo busy sana,hawana hata muda wa kujisikiliza kupitia inner voice ambayo hua ina majibu mengi tu,

Jipe muda,listen to your heart,kuna muda,mwili huhitaji kuongea na muhusika ila hua tunapuuza.
 
Ni kweli nguru we na mbwa hutumika kunusa madawa ya kulevya

Pale SUA Kuna panya hutumika kunususa land mine

Kwenye vyuo vikuu tafiti zifanyike wanyama watumike kutabirinmajanga na na mabadiliko ya tabia nchi
 
Sio kwa hawa wanyama wa sasa. Hata kakakuona wa zama za leo nahisi ameshageuka na kuwa dadakuona. Hawezi hata kutabiri ukweli wa mambo😃
 
Naamini wanadamu tunao uwezo mkubwa kuzidi hapo ila hatutilii maanani mazingira yetu na hasa nguvu ya kiroho tuliyonayo
au labda Tsunami au volcano ikiamua kuja kwaajili ya binadamu, wanyama wasiohusika wanajikuta wameondoka
 
Back
Top Bottom