Ibrah wa kiwira
Senior Member
- May 17, 2023
- 179
- 167
Look, wote uliowawekea mfano kama madikteta, wanagoma Kutoka madarakani, why?Sisi binadamu baadhi yetu, sometimes tuko kama wanyama mfano wa mnyama punda, bila mjeledi, haendi!.
Hivyo kuna baadhi ya mambo makubwa ambayo JPM ameyafanya, bila kutumia udikiteta, kamwe yasingefanyika!. Marais karibu wote walioleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, walitumia udikiteta, mfano mzuri ni kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala nchi zao kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa Magufuli alipofikisha, tusingefika bila udikiteta, na hata Samia, lazima afike mahali awe dikiteta ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tukimchekea ngedere, tutayavuna mabua!.
P
Ndio pengi wanafanya vzur katika mataifa Yao, ila wajilimbikizia ukwasi na mamlaka makubwa, na watoto wao ndo wanaandaliwa kuwa viongoji kuendeleza shamba la bibi, fukara hawawezi kuwa na uchumi uliosima, wanabaki kufurahia huduma za uma bure,
Embu Angalia wanaopenda utawala wa Ivo, they don't have future of their young generation, they believe that even their children will be still depending on free gvmt services.
No, no Nakataa udikteta kabisa.