Je, kuna wakati Utawala wa Kidikteta unakuwa unafaa kuliko aina yoyote ile ya Utawala?

Look, wote uliowawekea mfano kama madikteta, wanagoma Kutoka madarakani, why?
Ndio pengi wanafanya vzur katika mataifa Yao, ila wajilimbikizia ukwasi na mamlaka makubwa, na watoto wao ndo wanaandaliwa kuwa viongoji kuendeleza shamba la bibi, fukara hawawezi kuwa na uchumi uliosima, wanabaki kufurahia huduma za uma bure,
Embu Angalia wanaopenda utawala wa Ivo, they don't have future of their young generation, they believe that even their children will be still depending on free gvmt services.
No, no Nakataa udikteta kabisa.
 
You can not say Magu led purely dictatorial, nor you can not say current leaders lead purely democratical. Kinachotazamwa ni kipi kimemzidi au imebalance, ndo utatoa comment Yako.
Na izo comments on certain kind of leadership haziwezi kufanana Kwa wote wanaotoa comment.
Mim nikisema MAGU was a dictator one Kwa sababisha, alitumia jeshi la polisi na siraha za kivita kunyamazisha wapinzani na walioikosoa serikari yake, ntakua sahihi kabisa mkuu
 
A leader with vision must know how to apply three types of leadership, 1 lesser faire, 2 dictatorship, and 3 Democratic. Dictate when is necessary!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…