Je, kuna wanawake wasio na dini?

Je, kuna wanawake wasio na dini?

Kuna connection gani kati ya mwanamke na habari za kimungu mungu ?!

Kuna vitu naona kama sio vya kawaida kati ya mwanamke na habari za kidini tofauti na mwanaume.
Ndio utufafanulie vitu gani hivyo unavyoona sio vya kawaida na Dini...

Mambo mengine yalikuwa ni Tamaduni tu za wayahudi, ukitizama katika Tamaduni zao, mwanamke haesabiwi katika ukoo au vizazi, wanahesabiwa wanaume, maana iliaminika mwanamke yeye ataolewa ukoo mwingine hivyo hana tija kwenye ukoo wa baba yake
 
swali lenyewe hili hapa.

Je, kuna wanawake wasio na dini ?

Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
Hakuna faida ya kuwajua.

Wako wanawake atheists na pia wako wanawake ambao wanaenda makanisani na misikitini kutimiza ratiba au utamaduni, ila moyoni wana mashaka na Mungu kama yupo.
 
Hakuna faida ya kuwajua.
Wako wanawake atheists , na pia wako wanawake ambao wanaenda makanisani na misikitini kutimiza ratiba au utamaduni, ila moyoni wana mashaka na Mungu kama yupo.
Nataka kujua wasio na dini sio hao unazungumzia wewe kuwa wanaenda kanisani na misikitini kwa mashaka . Hawa tayari wanadini.

Mimi swali langu ni kutaka kujua je kuna wanawake wasio na dini ? Wewe binafsi umewahi kukutana nao ?
 
Atheists wako wengi tu.
Hata wanaoenda kanisani na misikitini, wasiposhika Imani ya kidini, hawana tofauti nao.
 
Hakuna Kiumbe ambaye hana dini ,yaani kila mtu lazima awe na mfumo fulani wa maisha wa kila siku anaoufuata katika harakati zake za kimaisha na hiyo inakuwa ndio dini yake.

Watu wengi ukisema dini wanajua Uislamu na Ukiristo tu.
 
Usiseme kula mbunye nayo ni dini. Maana wafia dini hamkawii hata kuita bongo fleva ni dini.
 
Back
Top Bottom