aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Hana dini yoyote yule, sana sana ugali na kitimoto anashushia na pepsi.Ila dini hana au anayo ?
Japokuwa pepsi nimempiga stop nampa juis ya miwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana dini yoyote yule, sana sana ugali na kitimoto anashushia na pepsi.Ila dini hana au anayo ?
Swali la mwisho kama utapenda kujibu.Hana dini yoyote yule, sana sana ugali na kitimoto anashushia na pepsi.
Japokuwa pepsi nimempiga stop nampa juis ya miwa.
Tofauti ipo kubwa sana ,kwa sababu yule anayeamini katika Mungu na kwenda msikitini hata asiposhika imani sawa sawa kuna uwezo mkubwa wa kubadilika na kushika imani kisawasawa ,kea kawaida ya imani hauwezi kuwa constant muda wote kutakuwa na kupanda na kushuka ila asiyoamini yeye hana muda na mambo ya imani zaidi ya kufuata upotofu wake .Atheists wako wengi tu.
Hata wanaoenda kanisani na misikitini, wasiposhika Imani ya kidini, hawana tofauti nao.
Wapo wachache Sana kwa sababu wanawake are more emotional than rational. Yaani wanafikiri kwa hisia kuliko mantiki na dini ni hisia. Hisia za uwoga, tamaa, majuto, etc.swali lenyewe hili hapa.
Je, kuna wanawake wasio na dini ?
Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
Rudi form 5 General studies usome religion ni Nini afu features zake uzielewe ndo utamke hivi.Hakuna Kiumbe ambaye hana dini ,yaani kila mtu lazima awe na mfumo fulani wa maisha wa kila siku anaoufuata katika harakati zake za kimaisha na hiyo inakuwa ndio dini yake.
Watu wengi ukisema dini wanajua Uislamu na Ukiristo tu.
Anhaa sawa nimekupataWapo wachache Sana kwa sababu wanawake are more emotional than rational. Yaani wanafikiri kwa hisia kuliko mantiki na dini ni hisia. Hisia za uwoga, tamaa, majuto, etc. So ni ngumu sana mwanamke kukaa kimantiki aache dini ndo maana wanawake wengi walokole walioshiba mpaka wanajiangusha makanisani. Na pia hata wakiwepo ni ngumu ku come out. Mwanamke ana hitaji jamii imkubali, bila dini hataolewa, hatapata kazi, hataheshimika so Bora ajionyeshe mdini coz jamii inayomzunguka itamkandamiza otherwise
Ok.Nalala, kesho nitarudi hapa
Majibu sio kwa mujibu wa maono ya watu bali ni kutokana na mafundisho ya dini ya kiislamu kuwa kila mtu lazima awe anaishi katika Dini , principles unazofuata katika maisha yako ya kila siku ndio dini yako hiyo.Rudi form 5 General studies usome religion ni Nini afu features zake uzielewe ndo utamke hivi.
Hiyo kutokana na Uislamu , mfano mtu akisema mimi Muislamu huo unakuwa ndio mfumo wake wa maisha kuanzia ,kuoa ,kula ,kuvaa ,kunywa nk yaani uislamu ndio unakuwa mfumo wake na Uislamu sio kwenda msikitini au kufunga Ramadhaan pekee.Hiyo ndio tafsiri ya dini kwako ?
NikuoeKwani unatakaje?
Nilishaolewa nikashindwa imetosha BossNikuoe
Fisi hajawahi shindwa kula mfupaNilishaolewa nikashindwa imetosha Boss
Bongo fleva nayo inaweza kuwa dini ,kwa mfano mtu yeye anakuwa mafano leo Diamond kasema enjoy anafuata ,kesho Harmonize aseme Kulewa unalewa , mwengine aseme hakuna ushemeji unaishi humo nk hiyo itakuwa dini yako ya kufuata maneno ya wasanii huku wakikiaribu ubongo wako.Usiseme kula mbunye nayo ni dini. Maana wafia dini hamkawii hata kuita bongo fleva ni dini.
Ooh kumbe!? Ngoja tuone mkuuFisi hajawahi shindwa kula mfupa
Tuone nini ?Ooh kumbe!? Ngoja tuone mkuu
😂😂upo sahihi kabisa mkuuTuone nini ?
Biashara asubuhi jioni mahesabu
Tufanye jambo dunia ifurahi😂😂upo sahihi kabisa mkuu
Sawa,nakusubiri palepale pa Jana tuongee vizuriTufanye jambo dunia ifurahi