Je, kuna wanawake wasio na dini?

Je, kuna wanawake wasio na dini?

Atheists wako wengi tu.
Hata wanaoenda kanisani na misikitini, wasiposhika Imani ya kidini, hawana tofauti nao.
Tofauti ipo kubwa sana ,kwa sababu yule anayeamini katika Mungu na kwenda msikitini hata asiposhika imani sawa sawa kuna uwezo mkubwa wa kubadilika na kushika imani kisawasawa ,kea kawaida ya imani hauwezi kuwa constant muda wote kutakuwa na kupanda na kushuka ila asiyoamini yeye hana muda na mambo ya imani zaidi ya kufuata upotofu wake .

Tofauti nyingine wale walioamini wameahidiwa msamaha au hata akihukumiwa moto uhakika upo wa kukombolewa tofauti na asiyeamini na mshirikina wao msahama sio jambo rahisi na jambo lenye uhakika zaidi kwao ni kuwa watu wa motoni milele .
 
swali lenyewe hili hapa.

Je, kuna wanawake wasio na dini ?

Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
Wapo wachache Sana kwa sababu wanawake are more emotional than rational. Yaani wanafikiri kwa hisia kuliko mantiki na dini ni hisia. Hisia za uwoga, tamaa, majuto, etc.

So ni ngumu sana mwanamke kukaa kimantiki aache dini ndo maana wanawake wengi walokole walioshiba mpaka wanajiangusha makanisani.

Na pia hata wakiwepo ni ngumu ku come out. Mwanamke ana hitaji jamii imkubali, bila dini hataolewa, hatapata kazi, hataheshimika so Bora ajionyeshe mdini coz jamii inayomzunguka itamkandamiza otherwise
 
Hakuna Kiumbe ambaye hana dini ,yaani kila mtu lazima awe na mfumo fulani wa maisha wa kila siku anaoufuata katika harakati zake za kimaisha na hiyo inakuwa ndio dini yake.

Watu wengi ukisema dini wanajua Uislamu na Ukiristo tu.
Rudi form 5 General studies usome religion ni Nini afu features zake uzielewe ndo utamke hivi.
 
Wapo wachache Sana kwa sababu wanawake are more emotional than rational. Yaani wanafikiri kwa hisia kuliko mantiki na dini ni hisia. Hisia za uwoga, tamaa, majuto, etc. So ni ngumu sana mwanamke kukaa kimantiki aache dini ndo maana wanawake wengi walokole walioshiba mpaka wanajiangusha makanisani. Na pia hata wakiwepo ni ngumu ku come out. Mwanamke ana hitaji jamii imkubali, bila dini hataolewa, hatapata kazi, hataheshimika so Bora ajionyeshe mdini coz jamii inayomzunguka itamkandamiza otherwise
Anhaa sawa nimekupata
 
Rudi form 5 General studies usome religion ni Nini afu features zake uzielewe ndo utamke hivi.
Majibu sio kwa mujibu wa maono ya watu bali ni kutokana na mafundisho ya dini ya kiislamu kuwa kila mtu lazima awe anaishi katika Dini , principles unazofuata katika maisha yako ya kila siku ndio dini yako hiyo.
 
Hiyo ndio tafsiri ya dini kwako ?
Hiyo kutokana na Uislamu , mfano mtu akisema mimi Muislamu huo unakuwa ndio mfumo wake wa maisha kuanzia ,kuoa ,kula ,kuvaa ,kunywa nk yaani uislamu ndio unakuwa mfumo wake na Uislamu sio kwenda msikitini au kufunga Ramadhaan pekee.

Hata mtu akifuata matamanio yake hiyo inakuwa dini yake kwa maana matamanio yake ndio yanaamua aishi katika njia gani na afanye kipi.
 
Usiseme kula mbunye nayo ni dini. Maana wafia dini hamkawii hata kuita bongo fleva ni dini.
Bongo fleva nayo inaweza kuwa dini ,kwa mfano mtu yeye anakuwa mafano leo Diamond kasema enjoy anafuata ,kesho Harmonize aseme Kulewa unalewa , mwengine aseme hakuna ushemeji unaishi humo nk hiyo itakuwa dini yako ya kufuata maneno ya wasanii huku wakikiaribu ubongo wako.
 
Back
Top Bottom