Ukiwa na Mshika dini fulani(Ukiristo au uislamu) chema au kiovu utatafsiri kutokana na mafundisho ya dini Yako husika ,hapo dini imekuwa kama force inayopelekea mtu kuAct katika njia fulani na kufanya uamuzi fulani.
Na ukiwa haushiki dini hizi Uislamu na Ukiristo , vilevile lazima kutakuwa na force(msukumo) ambao unapelekea wewe kujali wema au uovu ,kipi ufanye au usifanye nk huo msukumo ndio utakuwa unashape matendo yako na maamuzi yako ,huu msukumo ukiwa matamanio yako binafsi ,WanaFalsafa ,Wasanii nk ndio inakuwa dini yako rasmi upende usipende.
NB: Mimi nimedefine dini kutokana na mtizamo mwengine na sijalazimisha mtu kuamini au kutoamini bali kazi yangu ilikuwa kuweka bayana kuwa kuna mtizamo mwengine tofauti na watu wengi wanavyofiriki .
#Nimemaliza.