Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ndio utufafanulie vitu gani hivyo unavyoona sio vya kawaida na Dini...Kuna connection gani kati ya mwanamke na habari za kimungu mungu ?!
Kuna vitu naona kama sio vya kawaida kati ya mwanamke na habari za kidini tofauti na mwanaume.
Nataka kujua je, kuna wanawake wasio na dini ?Ndio utufafanulie vitu gani hivyo unavyoona sio vya kawaida na Dini...
Hakuna faida ya kuwajua.swali lenyewe hili hapa.
Je, kuna wanawake wasio na dini ?
Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
Wapo wengi sana kama vile walivyo wanaume... Ulaya na Marekani watu wa aina hiyo wako wengi sana, wasioamaini katika Dini na wala hawana muda na Dini...Nataka kujua je, kuna wanawake wasio na dini ?
Nataka kujua wasio na dini sio hao unazungumzia wewe kuwa wanaenda kanisani na misikitini kwa mashaka . Hawa tayari wanadini.Hakuna faida ya kuwajua.
Wako wanawake atheists , na pia wako wanawake ambao wanaenda makanisani na misikitini kutimiza ratiba au utamaduni, ila moyoni wana mashaka na Mungu kama yupo.
Je, huku kwetu kwa wabantu wewe umewahi kukutana nao ?Wapo wengi sana kama vile walivyo wanaume... Ulaya na Marekani watu wa aina hiyo wako wengi sana, wasioamaini katika Dini na wala hawana muda na Dini...
Atheists wako wengi tu.Nataka kujua wasio na dini sio hao unazungumzia wewe kuwa wanaenda kanisani na misikitini kwa mashaka . Hawa tayari wanadini.
Mimi swali langu ni kutaka kujua je kuna wanawake wasio na dini ? Wewe binafsi umewahi kukutana nao ?
Demi ni mojawapo . Wako wengi tu.Je, huku kwetu kwa wabantu wewe umewahi kukutana nao ?
Unachanganya mambo. Huwezi ukawa hauna dini halafu muda huo unashiriki ibada za kidini na mambo mbalimbali ya kidini.Atheists wako wengi tu.
Hata wanaoenda kanisani na misikitini, wasiposhika Imani ya kidini, hawana tofauti nao.
Hiyo ndio tafsiri ya dini kwako ?Hakuna Kiumbe ambaye hana dini ,yaani kila mtu lazima awe na mfumo fulani wa maisha wa kila siku anaoufuata katika harakati zake za kimaisha na hiyo inakuwa ndio dini yake.
Watu wengi ukisema dini wanajua Uislamu na Ukiristo tu.
Ila dini hana au anayo ?Demu wangu ukimwambia habari za kusalisali mtagombana.
Usiseme kula mbunye nayo ni dini. Maana wafia dini hamkawii hata kuita bongo fleva ni dini.Hakuna Kiumbe ambaye hana dini ,yaani kila mtu lazima awe na mfumo fulani wa maisha wa kila siku anaoufuata katika harakati zake za kimaisha na hiyo inakuwa ndio dini yake.
Watu wengi ukisema dini wanajua Uislamu na Ukiristo tu.