Je, kuna wanawake wasio na dini?

Majibu sio kwa mujibu wa maono ya watu bali ni kutokana na mafundisho ya dini ya kiislamu kuwa kila mtu lazima awe anaishi katika Dini , principles unazofuata katika maisha yako ya kila siku ndio dini yako hiyo.
Unatumia dini moja kudescribe dini zote huo ndo ujinga wenu waislamu mnaona nyie ndo wa maana kuliko wote.... religion ni system of beliefs yenye vitu kama sacred places, rituals, offerings, holy books, etc. Asa Kama Lifestyle yangu ya kuangalia mechi za Simba ni dini sawa
 
Bac mi muislam haya niache๐Ÿ˜‚
 
Ukiwa na Mshika dini fulani(Ukiristo au uislamu) chema au kiovu utatafsiri kutokana na mafundisho ya dini Yako husika ,hapo dini imekuwa kama force inayopelekea mtu kuAct katika njia fulani na kufanya uamuzi fulani.

Na ukiwa haushiki dini hizi Uislamu na Ukiristo , vilevile lazima kutakuwa na force(msukumo) ambao unapelekea wewe kujali wema au uovu ,kipi ufanye au usifanye nk huo msukumo ndio utakuwa unashape matendo yako na maamuzi yako ,huu msukumo ukiwa matamanio yako binafsi ,WanaFalsafa ,Wasanii nk ndio inakuwa dini yako rasmi upende usipende.

NB: Mimi nimedefine dini kutokana na mtizamo mwengine na sijalazimisha mtu kuamini au kutoamini bali kazi yangu ilikuwa kuweka bayana kuwa kuna mtizamo mwengine tofauti na watu wengi wanavyofiriki .

#Nimemaliza.
 
Hio sio dini Sasa hio ni view au opinion ya mtu. Ndo maana nakuambia soma definition ya dini ambayo inajulikana dunia nzima sio yenu ya kujikosha
 
Okey okey acha nivae kale ka jeans kangu ka blue na katai kekundu usikonde mama dakika sifuri tu
๐Ÿ˜ณjamani...si utakuwa na mwonekano wa joti ukivaa hivyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ
 
Nowdays kuna ujinga mwingi sana nilidhan mtu anapoint kumbe mulemule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ