Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

WiFi zinaguswa bro hapa mtakataa mkijiaminisha hazifikiwi ila zinapigwa fresh. Mbona mifumo ya authentication ipo ila mifumo inadukuliwa? Baadhi ya mifumo ya Blockchain inapigwa bro unadhani WiFi ndio nini isipigwe
Mimi nilikuwa salesman kitambo,nimewashawishi wenye bar wengi na maduka makubwa waweke wifi ,na wamekubali kwa hiyo Mimi ni mteja wa kudumu,yangu Pepsi tuu baridii!Naserebuka nazo wifi kama zangu.Kutwa jioni nipo YouTube!
 
Screenshot_20250314_090748.jpg
 
Katika ulimwengu wa hacking,hakuna kisicho wezekana.

Kudukua WiFi ,point kubwa ni kupata password yake na kujiunga. Waweza kumdukua mmiliki mwenyewe au kifaa (hii ngumu kama huna uzoefu)
 
Ni ngumu sana tofauti na unavyo fikiria
Sawa bro I'm on the field watu ni wahuni kinoko watu wapo very skilled bro kwahiyo what your thinking isn't what is happening hacking zinafanyika sana ndio maana hata Leo hii makampuni makubwa yanatoa ofa kwa watu wanaoweza kudukua mifumo yao ili wazibe hiyo mianya
 
Katika ulimwengu wa hacking,hakuna kisicho wezekana.

Kudukua WiFi ,point kubwa ni kupata password yake na kujiunga. Waweza kumdukua mmiliki mwenyewe au kifaa (hii ngumu kama huna uzoefu)
Sasa jamaa anaona ni impossible
 
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani wanavyoburudika na Netflix bila wasi. Unajaribu kuomba password wanakuzungusha, mara "ah, sijui ni ipi" au "mimi sihusiki, kaulize watoto."
Sasa basi, kama kuna mtaalamu humu anayejua mbinu za kutoboa hizi WiFi zilizo na security kali, share maujanja ya kitaalam! kwa wana Ni kweli hizi apps zinazodai kuwa zinahack WiFi ni feki au kuna mbinu sahihi za kitaalam za kuvuka vizuizi?

Naomba wataalamu wa ethical hacking waje hapa watupe mwanga, labda kuna njia halali za kupata internet bure bila kuvunja sheria.
Wadau mpo? Toeni darasa!

Nb. Ulaghai hauruhusiwi.
Kama TV Yako tu ya mchina inapita na Hotspot Yako na kukurekodi, itashindikana vipi, btw sio jambo la muhimu, nunua bando.
N:B usigeuzie TV Yako kitandani, Asante.
 
Back
Top Bottom