Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
KITAB AL MUKADAS Hakisomwi Kwa kukariri kama Quran ust!πππReference:
Marko 9:1
Luka 9:27
Mathayo 16:28
Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba
View attachment 3167298
Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa..
Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa
Je, hao watu wako wapi???
Kutokana na nukuu ulizoonyesha ni wazi kuwa wewe ni msomaji mzuri wa maandiko yaani Biblia. Utakumbuka pia halijaonekana kaburi la Musa, kwa maana hiyo hakuna aliyemzika, kadhalika Eliya alitwaliwa mzima mzima. Sasa nikukumbushe, mara kadhaa Maria mama yake Yesu alikuwa akimfuata kule alikokuwa akienda pamoja na wanawake wengine kadhaa. Bikira Maria aliyeandaliwa kutwaa mimba ya Yesu, Masihi wa Mungu, je anaweza kuachwa mwili wake uharibike wakati huyo mwanae Yesu aliweza kufufua watu wengine? Bikira Maria alichukuliwa akapaa mbinguni. Kuna watu watauliza, imeandikwa wapi? Naomba wasome Yohana 21:25Reference: