Mimi sio mropokaji ila nimeshafikisha ujumbe mara nyingi kwa njia ya utani.😃Shukran sana naichukua hii
Vipi lakini wewe hujawahi kuongea kitu I mean kuropoka bila kua na dhamira ya kweli na ulichoropoka?
Ntakinunua na mrejesho nitaletaNa bado nipo kwenye mchakamchaka dadadekiii. Muhimu tafuta hicho kitabu Know your enemies and watch your friends, kina majibu kuhusu hii mada yako, hakizidi sh 10,000
Ebu nitanie tuone 😆Mimi sio mropokaji ila nimeshafikisha ujumbe mara nyingi kwa njia ya utani.😃
Ndio kabisa...Mawazo ya mtu unayajua kupitia matamshi yake hata kama jambo amelitamka kiutani.
Pole ya nini sasa 🤣Ntakinunua na mrejesho nitaleta
Pole kwa visa na mikasa
Haiyaaa nimesikiaPole ya nini sasa 🤣
Kuna watu wengine huwa wapo kwa ajili ya kupitia mazingira fulani ili waje watoe uzoefu kama utasikiliza mapitio yao na ukapata somo ni sawa, ukipuuzia yakikukuta utajijua maana ulishapewa kabisa maelezo
Zingatia nasaha za Wahenga mdogo wetu 😀Haiyaaa nimesikia
UchawiHubandui jicho sio
Unamkazia mtu sasa si utaogopwa jamani
Sawa nimeelewa mkuuZingatia nasaha za Wahenga mdogo wetu 😀
Sawaa nimeachaRudi kwenye mada Acha kujifunza ukuwadi 🤣🤣🤣
Ki vipi mkuu?Uchawi
Kwahiyo wewe huamini kabisa kama kuna wataalamu wa kusoma mawazo ya mtu kabisa kabisa?Kwa uelewa wangu binafsi naamini hakuna mtu ambaye anaweza kusoma mawazo ya mtu,yes hakuna kabisa
Ila kuna uwezekano wa kujua kama huyu mtu anaongea ukweli au uongo kupitia kusoma matendo ya mwili wake
Kuna kama alama 5 muhimu sana za kujua kama huyu mtu analosema ni kweli au uongo,lakini ni muda mrefu sana umepita na nimezisahau
Na kupitia intuition/machale tunaweza hisi hali flani flani kwa watu wanao tuzunguka lakini kujua kile ninachowaza na kufikiri hapana aisee
Asante
Sawa mkuu karibu tenaSiamini kabisa