Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Nimebarikiwa sana ila sio kwa ubaya kama vijana wa ccm wanaoweza kutumia mwezi mmoja kumfuatilia yule dogo wa chunya chaula ili wamuue na wakamuua kweli mi siko hukoπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Unataka kusema je hapa?
 
Inawezekana mkuu
LAKINI mara nyingi wanaangalia facial expressions and body gestures

Kwa mfano: Kuna hii moja nilisoma mahali mtu akiwa Hana confidence mara nyingi hupendelea kushika maeneo ya usoni hii nimeionotice kwa watu wengi sanaa hasa chuo WAKATI WA presentation

Mara nyengine me mwenyewe najikuta nashika shika USO πŸ˜‚ nikiwa naongea na watotoz but most of time najitahidi kujizuia ila wapi
 
hiyo hali ipo ya kuzaliwa nayo na ipo ya kusomea.
Ila ya kuzaliwa nayo ukijua kuitumia vizuri ndo Kali zaidi kwa sababu haihitaji ushahidi mwingi. ni maneno mawili tuu mi najua nmesha kujua ila hiyo hali ya kusomea laazima vijimaswali viwepo na ni rahisi mtu kujua kuwa unataka kujua kitu kuhusu yeye au mtu mwingine
 
kuna nyakati ambazo unaweza kuyajua mawazo ya mtu kutokana na matendo yaliyotokea muda mfupi yaliyofanyika. hasa akiwa na hasira.
 
Duh nilisikia moyo wa mtu kichaka
 
Hii ni kweli mara mtu ashike kidevu
Mara akune kicwa unagundua kua confidence yake ipo chini sana
Mara nyengine me mwenyewe najikuta nashika shika USO πŸ˜‚ nikiwa naongea na watotoz but most of time najitahidi kujizuia ila wapi
Unaona aibu ukiongea na totozπŸ˜†πŸ˜†
 
Hii ni kweli mara mtu ashike kidevu
Mara akune kicwa unagundua kua confidence yake ipo chini sana
Unaona aibu ukiongea na totozπŸ˜†πŸ˜†
Maramoja moja unakuta upo na Pini wajuba wanakutolea machoo πŸ˜…

Confidence inakukimbia
 
Ndio kabisa...
Na aki danganya je?

Inshort tuseme tu unaweza kujua emotional aspect ila mawazo Kamwe ni ngumu kuyajua

Watoto ni wazuri sana wa ku fake mawazo yao na wakakupa tabia ambayo ni ya Uoga juu yako..

ShesRise_1
Kama watoto wanakua waoga kwako utakua mkali sana wewe. Hawawezi kuwa waoga kwa kila mtu. Ukikaa nao ukawaongelesha vizuri utaelewa wanachowaza... watasema wanaogopa utawachapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…