Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

shes gud morning and gud baiπŸ˜…πŸ˜… si unajua macho yangu yamejaa michozi mda wote inabubujika kama Lucas mwashambwa
Morning mdogo wangu
Hiyo gudubai veep nimeikataa πŸ˜…πŸ˜…
Kwanini michozi kama ruka lakiniπŸ˜†
 
Dunianiani mambo ni mepesi sana ukiamua ,jinsi wali unavyopikwa ukisikia harufu na ukandua ni wali ndivyo ilivyo .mm ni four 4 point 29 mwaka 2011.nina uwezo mkubwa sana wa kumsoma mtu ,nikagundua na kuvunja kile ambacho kwangu naona kinanipa madhara.
1.Ukiongea na mtu muangalie kweny paji la uso na siyo machooni >unamtoa confidence kwa asilimia mia Moja
2.nikihisi mtu ananidharau Huwa nafanya hiv .namuita kwa kukosea jina lake au najifanya sijui jina lake na matokeo nayaona,
Mambo yanawezekana kikubwa tusome vitabu mbalimbali ubongo wa binadamu una Siri kubwa sana
 
Wewe ni wa pili unasema kuhusu paji la uso inawezekana vipi kumtoa mtu confidence kwa kumuangalia paji la uso na sio kuangalia macho yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…