Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba?
Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa?
Baada ya Mwigulu kukopa ni nani anafaha kuwa Waziri wa fedha ambaye atasaidia nchi kulipa madeni haya?