Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
MgimwaMawaziri wa fedha waliokua na uchungu na nchi.
Steven Andandangisye Kibona
Edwin Mtei
Amir Jamal
Cleopa Msuya
Mhehe fulani nadhani Mgimba
Mhehe alikuwa anaitwa Dr William MgimwaMawaziri wa fedha waliokua na uchungu na nchi.
Steven Andandangisye Kibona
Edwin Mtei
Amir Jamal
Cleopa Msuya
Mhehe fulani nadhani Mgimba
Mgimwa alikua ni PhD ya ukweli. Sio hizi nyingine zinashindwa kusimamia miradi midogo Kama mabasi ya mwendokasi wakati Kuna darasa la Saba kibao kule Lushoto wanasimamia mabasi unakuta kila mwaka ananunua jingine na Yuko kwenye ushindani.Mhehe alikuwa anaitwa Dr William Mgimwa
Hii nakumbuka sana,tena Nape na mtumbo wake mkubwa kama chura alisema Magu kakopa sanaWalisema magufuri kakopa kwelkweli Tena maeneno hayo yakiongozwa na Mwigulu,na Nape na January,,baada ya wao kukop zaidi wamegeuka kuwa makasuku.Nchi hii ngum
Yule jamaa ni muthenge majiHii nakumbuka sana,tena Nape na mtumbo wake mkubwa kama chura alisema Magu kakopa sana
PhD za mchongo zimejaa wizi tupu kuanzia upatikanaji wakeMgimwa alikua ni PhD ya ukweli. Sio hizi nyingine zinashindwa kusimamia miradi midogo Kama mabasi ya mwendokasi wakati Kuna darasa la Saba kibao kule Lushoto wanasimamia mabasi unakuta kila mwaka ananunua jingine na Yuko kwenye ushindani.
Mwendokasi Hana mshindani Wala mpinzani lkn PhD Ina kosa idea au clue kabisa.
Maustaadh kule Tanga mjini wameishia madrasatul lkn kila mwaka wanafyatua mabasi mapya.
Mawaziri wa fedha waliokua na uchungu na nchi.
Steven Andandangisye Kibona
Edwin Mtei
Amir Jamal
Cleopa Msuya
Mhehe fulani nadhani Mgimba ~ alijulikana kwa jina la (William Mgimwa)
Sasa huyu mwenye PhD mwendokasi hajawahi hata kufanya biashara ya duka 😄Mgimwa alikua ni PhD ya ukweli. Sio hizi nyingine zinashindwa kusimamia miradi midogo Kama mabasi ya mwendokasi wakati Kuna darasa la Saba kibao kule Lushoto wanasimamia mabasi unakuta kila mwaka ananunua jingine na Yuko kwenye ushindani.
Mwendokasi Hana mshindani Wala mpinzani lkn PhD Ina kosa idea au clue kabisa.
Maustaadh kule Tanga mjini wameishia madrasatul lkn kila mwaka wanafyatua mabasi mapya.
Wameiba mpaka wamevimbiwa.Huyu mwamba atakuwa na mipesa mingi sana sana
Ova
Ana shule ya msingi mkoani TANGA.Sasa huyu mwenye PhD mwendokasi hajawahi hata kufanya biashara ya duka 😄
Ova