Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

Julius byakuzana

New Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
3
Reaction score
3
Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
 
Uliwezaje kupata NIDA bila cheti cha kuzaliwa ? anyway inabidi uwe na cheti cha kuzaliwa pamoja na NIDA ndo uweze jisajiri Ajira portal
 
Back
Top Bottom