Anastahili kuchafuliwa hadi kaburini muuaji na mtesi .....Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Mi naona kama hajasemwa vizuri. Naona watu wanarashiarashia tu.Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
We nawe ama ni mwehu au ni sukumaganga tu! wapinzania hawamchafui magofongo bali wanakisoma kiuhalisia kitabu chake alicholiandika mwenyewe kwa hiari na utashi wake mwenyewe! period. tunakisoma kitabu na kukichambua ili kutafuta mafundisho tunayopata kujifunza ili yatusaidie katika safari ya taifa, Hatupambani na mfu ila tunatafuta nini hasa kilimfanya akawa mtu wa hovyo kiasi hicho ili tujirekebishe. Kaiharibia taswria familia yake!Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
hatuko hapa kumchafua mtu!! ila kutamka mabaya yake ni zaidi ya shetani!! ili wengine wasirudie kuingia kwenye huo mtego si dhambi!! kila mtu bongo anajua alivyo wafanyia watu waafrica weusi tii!! unyama!!! jamani mpaka mama yake kabendera akavuta!! alipigana na maskini ndg zake km anaua nyoka!Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Kwani weye hujui kuwa sisi ni miungu toshaa!!! ...lkn inawezekana labda weyey ni kizazi cha nyoka ndo wanasema ivo!mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya
ndiyo ujue kabisa mshahara wa dhambi ni mauti wala huchelewi kupata majibu!...na Mungu aliposema hivi alikuwa hatanii!!.......akaongeza kwamba na Mungu hadhihakiwi huwezi ua watu halafu unaend kuhangaika kanisani bila toba ya kweli! dhidi ya Lisu!tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
SIKILIZA BUNGE NDIO UTAJUA WANAOMPAKA MATOPEKama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Jamani kusema ukweli si kumchafua mtu, mmesomea wapi au wewe ni kilaza wa kutupwa???Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Nikiwa Rais nitaweka wazi haya yooote na waloathiriwa na hii hali ntawalipa kwa kupitia serikali!! mnipe kura zenu!Husikii tena kuwa kuna mtu kaokotwa kwenye kiroba๐๐๐
View attachment 2254620
Ulikuwa utawala wa hovyo kabisa hapa dunianiUtawala Wa JPM haukuwa rafiki kwa jamii nzima wakiwemo Wafanyabiashara wakubwa. Kwa hiyo si wapinzani tu wanaousema utawala huo, wapo Wafanyabiashara, wafanyakazi Wa umma, CCM asilia n.k n.k
Hakuna anayemchafua magufongoli bali tunachofanya ni kukisoma kitabu chake alichokiandika yeye mwenyewe kwa hiari yake bila kulazimishwa na yeyote ili tuelewe ni nini kilimfanya akawa mtu nusu shetani na kuhakikisha haturudiii makosa ya kumkabidhi mtu mwenye cheti cha mirembe nchi yetu!hatuko hapa kumchafua mtu!! ila kutamka mabaya yake ni zaidi ya shetani!! ili wengine wasirudie kuingia kwenye huo mtego si dhambi!! kila mtu bongo anajua alivyo wafanyia watu waafrica weusi tii!! unyama!!! jamani mpaka mama yake kabendera akavuta!! alipigana na maskini ndg zake km anaua nyoka!
Kwani weye hujui kuwa sisi ni miungu toshaa!!! ...lkn inawezekana labda weyey ni kizazi cha nyoka ndo wanasema ivo!
ndiyo ujue kabisa mshahara wa dhambi ni mauti wala huchelewi kupata majibu!...na Mungu aliposema hivi alikuwa hatanii!!.......akaongeza kwamba na Mungu hadhihakiwi huwezi ua watu halafu unaend kuhangaika kanisani bila toba ya kweli! dhidi ya Lisu!
ukweli utamuweka huru huko kaburini aliko!