hatuko hapa kumchafua mtu!! ila kutamka mabaya yake ni zaidi ya shetani!! ili wengine wasirudie kuingia kwenye huo mtego si dhambi!! kila mtu bongo anajua alivyo wafanyia watu waafrica weusi tii!! unyama!!! jamani mpaka mama yake kabendera akavuta!! alipigana na maskini ndg zake km anaua nyoka!
Kwani weye hujui kuwa sisi ni miungu toshaa!!! ...lkn inawezekana labda weyey ni kizazi cha nyoka ndo wanasema ivo!
ndiyo ujue kabisa mshahara wa dhambi ni mauti wala huchelewi kupata majibu!...na Mungu aliposema hivi alikuwa hatanii!!.......akaongeza kwamba na Mungu hadhihakiwi huwezi ua watu halafu unaend kuhangaika kanisani bila toba ya kweli! dhidi ya Lisu!
ukweli utamuweka huru huko kaburini aliko!