Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ndiyo inatakiwa kuhakikisha inanunua na kuhifadhi chakula cha kutosha. China walikuwa kama sisi. Baadaye wakaja na sera ya household responsibility. Yenyewe inanunua mazao ambayo inajua yatatosha kukabiliana na njaa. mazao yote anayobakiwa nayo mkulima yanakuwa ni jukumu lake kuyatumia na kuuza atakako na atakavyo.Nadhani sasa tunaelekea katika njia sahihi kabisa ispokuwa tu, kuna mipaka fulani fulani ambayo ni lazima iwe na rungu lake, alerts zake mbalimbali za kuijulisha mfano, ni lazima tufahamu nje na akiba ya taifa, je ni tani ngapi zinatakiwa ziwepo katika mzunguko ndani ya nchi,
Kwenye akiba tuna ngapi?, zinazozunguka ndani ya nchi zinatakiwa ziwe tani ngapi, na za kutoka nje kwa masoko ziwe tani ngapi, we must have a limitations for our citizens.