Nadhani sasa tunaelekea katika njia sahihi kabisa ispokuwa tu, kuna mipaka fulani fulani ambayo ni lazima iwe na rungu lake, alerts zake mbalimbali za kuijulisha mfano, ni lazima tufahamu nje na akiba ya taifa, je ni tani ngapi zinatakiwa ziwepo katika mzunguko ndani ya nchi,
Kwenye akiba tuna ngapi?, zinazozunguka ndani ya nchi zinatakiwa ziwe tani ngapi, na za kutoka nje kwa masoko ziwe tani ngapi, we must have a limitations for our citizens.