Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa

Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye.

Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa kuhakikisha hapenyi katika ngazi ya juu zaidi ya alipokuwa na ikibidi hata alipo aondoke

Kitengo wana jukumu la kuhakikisha ni watu wanaokidhi vigezo tu ndio wanakuwa karibu na viongozi wakuu wa nchi, na kama kuna mmoja kapenya kwa BAHATI mbaya,basi ikibidi ahujumiwe. Tumeona Lugora,kiongozi wa wizara yenye askari akikatika mauno na askari wanaompigia saluti. Kitengo wakamtengenezea zengwe, mara sijui kaagiza na mkataba usioeleweka,katupwa nje.

Nadhani pia Makonda aliingizwa line na sasa fedheha imeondoka katika nchi yetu,maana kila jambo likitokea wananchi wanasema katumwa,viongozi wakawa wanachafuliwa naye

Magenge ya wahuni yakawa yananasibishwa naye kama yule aliyempiga picha za uchi dada mmoja,dada huyo anasema yule mwijak ni sehemu ya genge la makonda

Clouds
Endless list
 
Usisahau kuna nafasi kumi za Magufuli atakapo pita so you never know Ila usisahau Pia kuna kiumbe kinaitwa Tundu Lissu so lolote linaweza tokea mwaka huu.
 
Tatizo Makonda alijiibua mwenyewe hata akizimwa siku wakimuachia meanya wa kisiasa atarudi kwa spidi.

Yulr ni risk taker
 
Sasa akipewa ubunge huo itakuwa kwa lengo la kufichiana siri tu,lakini hatakuwa na mamlaka ya kuamuru vyombo vya dola,atabakiza kupiga mdomo tu kama msukuma wa geita.

Yale mamlaka ya kuamuru usalama wa taifa/polisi/uhamiaji hana tena

Sasa hivi hata bata wanaweza kumgomea akiwa command
 
Hili nalo litapita ( kwa sauti ya tive akee)
 
Mnawapa credit tu hao jamaa, mambo mengi bongo yanatokea tu by chance.

Planning ni tatizo kuanzia ngazi ya familia hadi taifa, watanzania ni walewale. Wale wanaokopa bank ili walipe ada za watoto ndio haohao wako kitengo.
Umeniwahi hasa mkuu. Maana imekuwa kila linatokea ni kitengo. Ajabu zaidi ukitengo unatokea kuhalalisha fikra za mtu tu.
Mtu akitaka point yake iwe valid basi utasikia kitengo kimehusika. Hicho kitengo hata kama kipo vizuri kuna mengine mengi yanatokea kwa majaaliwa ya Mungu tu.
 
Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa

Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye.

Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa kuhakikisha hapenyi katika ngazi ya juu zaidi ya alipokuwa na ikibidi hata alipo aondoke

Kitengo wana jukumu la kuhakikisha ni watu wanaokidhi vigezo tu ndio wanakuwa karibu na viongozi wakuu wa nchi, na kama kuna mmoja kapenya kwa BAHATI mbaya,basi ikibidi ahujumiwe. Tumeona Lugora,kiongozi wa wizara yenye askari akikatika mauno na askari wanaompigia saluti. Kitengo wakamtengenezea zengwe, mara sijui kaagiza na mkataba usioeleweka,katupwa nje.

Nadhani pia Makonda aliingizwa line na sasa fedheha imeondoka katika nchi yetu,maana kila jambo likitokea wananchi wanasema katumwa,viongozi wakawa wanachafuliwa naye

Magenge ya wahuni yakawa yananasibishwa naye kama yule aliyempiga picha za uchi dada mmoja,dada huyo anasema yule mwijak ni sehemu ya genge la makonda

Clouds
Endless list

Wajinga huwa wanatumiwa na wanasiasa werevu, wakiisha kutumia wanakutupa huko ukafie mbali na ujinga wako. Jamaa alijiona anapendwa sana na chama na mkuu wake, kumbe alikuwa anatumiwa na wakuu
 
Sasa akipewa ubunge huo itakuwa kwa lengo la kufichiana siri tu,lakini hatakuwa na mamlaka ya kuamuru vyombo vya dola,atabakiza kupiga mdomo tu kama msukuma wa geita.

Yale mamlaka ya kuamuru usalama wa taifa/polisi/uhamiaji hana tena

Sasa hivi hata bata wanaweza kumgomea akiwa command
Huu ni WIVU tu
 
Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa

Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye.

Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa kuhakikisha hapenyi katika ngazi ya juu zaidi ya alipokuwa na ikibidi hata alipo aondoke

Kitengo wana jukumu la kuhakikisha ni watu wanaokidhi vigezo tu ndio wanakuwa karibu na viongozi wakuu wa nchi, na kama kuna mmoja kapenya kwa BAHATI mbaya,basi ikibidi ahujumiwe. Tumeona Lugora,kiongozi wa wizara yenye askari akikatika mauno na askari wanaompigia saluti. Kitengo wakamtengenezea zengwe, mara sijui kaagiza na mkataba usioeleweka,katupwa nje.

Nadhani pia Makonda aliingizwa line na sasa fedheha imeondoka katika nchi yetu,maana kila jambo likitokea wananchi wanasema katumwa,viongozi wakawa wanachafuliwa naye

Magenge ya wahuni yakawa yananasibishwa naye kama yule aliyempiga picha za uchi dada mmoja,dada huyo anasema yule mwijak ni sehemu ya genge la makonda

Clouds
Endless list
Kosa lake tarehe 7/09/2017 kazi aliyo tumwa hakuifanya kwa umakini
 
Tatizo Makonda alijiibua mwenyewe hata akizimwa siku wakimuachia meanya wa kisiasa atarudi kwa spidi.
''
Yulr ni risk taker

Si kweli kujiibua mwenyewe huyu huyu aliekuwa akiosha vyombo wa marehemu Samweli Sita? akipiga deki kwa Riz-one? huyu huyu anaekwenda kama ng'ombe na kumpiga Jaji Warioba? hana la maana yule
 
Back
Top Bottom