chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa
Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye.
Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa kuhakikisha hapenyi katika ngazi ya juu zaidi ya alipokuwa na ikibidi hata alipo aondoke
Kitengo wana jukumu la kuhakikisha ni watu wanaokidhi vigezo tu ndio wanakuwa karibu na viongozi wakuu wa nchi, na kama kuna mmoja kapenya kwa BAHATI mbaya,basi ikibidi ahujumiwe. Tumeona Lugora,kiongozi wa wizara yenye askari akikatika mauno na askari wanaompigia saluti. Kitengo wakamtengenezea zengwe, mara sijui kaagiza na mkataba usioeleweka,katupwa nje.
Nadhani pia Makonda aliingizwa line na sasa fedheha imeondoka katika nchi yetu,maana kila jambo likitokea wananchi wanasema katumwa,viongozi wakawa wanachafuliwa naye
Magenge ya wahuni yakawa yananasibishwa naye kama yule aliyempiga picha za uchi dada mmoja,dada huyo anasema yule mwijak ni sehemu ya genge la makonda
Clouds
Endless list