Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

Gwaji boy alishawahi kusema anamfuta kwenye ulimwengu wa siasa mpaka hapo atakapotubu
 
Hii stori niliisiaga zamani alivyotangaza nia nikaidharau...kumbe duh
 
Kosa lake tarehe 7/09/2017 kazi aliyo tumwa hakuifanya kwa umakini
Sababu ya kukosa akili,Sasa ngoja sisi tuje tuifanye kwa uzuri kwake mpaka wezere isambae utazani tikiti maji limepigwa risasi za short gun.
 
Hukumuona baada ya matokeo ya kijamboni mwijaku anasema msichague kimazoea kama KIGAMBONI.

Kesho yake nikaona mara kapandishwa kizimbani
 
Usisahau kuna nafasi kumi za Magufuli atakapo pita so you never know Ila usisahau Pia kuna kiumbe kinaitwa Tundu Lissu so lolote linaweza tokea mwaka huu.
Nafasi 10 hawajawahi kuchagua kijana mwenye nguvu Either mzee wanawake au Msomi haswa
 
Si kweli kujiibua mwenyewe huyu huyu aliekuwa akiosha vyombo wa marehemu Samweli Sita? akipiga deki kwa Riz-one? huyu huyu anaekwenda kama ng'ombe na kumpiga Jaji Warioba? hana la maana yule
Kwani alikuwa ndugu wa sita?
 
Naamini hapa Jamii forum inawatu makini lakin kwa hili naona kama tunaufunika ukweli. Hapa jamaa katolewa kwa mgongo ili kupooza vikwazo ambavyo vingefuata kwa wengine
 
Utakua kwenye genge la wauza madawa ya kulevya. Nyie ndio mnamchukia hadi kufa makonda. Ngoja uchaguzi uishe sijui utafanyaje kuona makonda akiaminiwa tena na serikali ya ccm. Makonda kafanya mambo makubwa wewe umebakia chuki zisizo na mashiko kwake.
 
Utakua kwenye genge la wauza madawa ya kulevya. Nyie ndio mnamchukia hadi kufa makonda. Ngoja uchaguzi uishe sijui utafanyaje kuona makonda akiaminiwa tena na serikali ya ccm. Makonda kafanya mambo makubwa wewe umebakia chuki zisizo na mashiko kwake.
Umerogwa, mimi mtanzania safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…