Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Ili tuelewane sote tunahitaji kupata majibu, ufafanuzi na kuelimishwa maana haijawahi tokea tukapiga kura siku 2 tofauti, tunauliza tume ya uchaguzi je,
1. kura zitahesabiwa siku hiyo hiyo ya tar 27 mbele ya mawakala?
2. Kitabu walicho kitumia kuweka tiki kwa wapiga kura kitakuwepo tena kwenye kituo?
3. Hao wanaopiga kura tar 27 watakuwa na kitabu chao ambacho hakitaingia tar 28 ndani ya kituo baada ya kupiga kura.
4. Box zikilala kwa maana ya kuwa zitahesabiwa na zingine siku inayo fuata je mawakala watalala nazo hapo kituoni au
5. Kama mawakala wataambia waziache wakalale majumbani zitahesabiwa kesho tutakuwaje na uhakika kuwa box ahaikubadilishwa.
6. TUme ya uchaguzi imejipangaje ili tuwe na imani nao kuwa kura hazitaibiwa na ma box kubadilishwa usiku wa tar 27 kuamkia 28.
EH MUNGU IBARIKI TANZANIA