Uchaguzi 2020 Je, kura za tarehe 27 zitahesabiwa siku hiyo hiyo? Mawakala na wasimamizi na wale wale?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Ili tuelewane sote tunahitaji kupata majibu, ufafanuzi na kuelimishwa maana haijawahi tokea tukapiga kura siku 2 tofauti, tunauliza tume ya uchaguzi je,

1. kura zitahesabiwa siku hiyo hiyo ya tar 27 mbele ya mawakala?
2. Kitabu walicho kitumia kuweka tiki kwa wapiga kura kitakuwepo tena kwenye kituo?
3. Hao wanaopiga kura tar 27 watakuwa na kitabu chao ambacho hakitaingia tar 28 ndani ya kituo baada ya kupiga kura.
4. Box zikilala kwa maana ya kuwa zitahesabiwa na zingine siku inayo fuata je mawakala watalala nazo hapo kituoni au
5. Kama mawakala wataambia waziache wakalale majumbani zitahesabiwa kesho tutakuwaje na uhakika kuwa box ahaikubadilishwa.
6. TUme ya uchaguzi imejipangaje ili tuwe na imani nao kuwa kura hazitaibiwa na ma box kubadilishwa usiku wa tar 27 kuamkia 28.

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Chadema mmeshaanza kuweweseka, yule Msaliti wenu wa Nchi tutamfundisha adabu
 
hiyo nimeisikia ni ZNZ sijui bara.
 
WaZanzibari wameshasema watashiriki uchaguzi huo wa tarehe 27 kufa kupona na kituo chochote kitakachofunguliwa watakwenda hapo na hakuna wa kuwazuia.

Huo ni wizi na umeshajulikana kiundani labda afande Siro hajui ,CCM wameshamdanganya kuwa sijui ni polisi na wafanyakazi serikalini,wamemlisha uongo huo.

Kura za wizi zipo na zinajulikana mpaka zilipo na wanaohangaika nao,kusudi la kufanya kura wanayoita ya kuokota maembe au mapema ni kuwa hujuma ni kuyatumia masanduku hayo na kuyabadilisha huko watakokwenda kuyahifadhi,kwamba tarehe 28 katika majumuisho wayachomeke masanduku au hesabu ya hayo masanduku ya kura ya mapema.

Unajua hakuna wanalolipanga Bashiru na genge lake Zanzibar lisijulikane,kwa sasa Zanzibar hakuna CCM wa kweli walio wengi wanavaa sare na wamo ndani ya innercore ya CCM wananukuu taratibu na kuzianika,na alionao bashiru ni mapepe au mapumba tu,ni lazima washirikiane na CCM waliotulia vizuri sana kupanga mipango miovu.

Zanzibar sasa wanataka nchi yao hawataki tena upumbavu wa kuamuliwa nani awaongoze hilo limewachafua na kuwavuruga CCM mwaka huu,CCM wote wa Zanzibar kwa sasa wameshaihama CCM na waliobakia ndio wapowapo tu wakisanya hela za mipango ya polepole na bashiru kiulaini kabisa.

Ona mkutano wa mgombea wa CCM Uraisi Zanzibar ukimaliza umeona watu wanavyoondoka ? Nijuavyo Mgombea baada ya kumaliza huondoka yeye mwanzo .Zanzibar Huseini na baba yake huondoka mwisho ,wanabaki wao na viti kisha ndo unawaona hao.
 
Wanaojinadi watashinda Urais hata wao awajui vifaa vya uchaguzi vipo wapi na mambo yatakuwa vipi baada ya kupiga kura.hata mshahara wa mwamuzi(refa)awafahamu analipwa nanani na kiasigani.
 
Kosa kubwa wanalofanya watu wanao-run hizi serikali ni kujipanga kuiba kura bila kujipanga kujua wataishije pale watakapowekewa vikwazo.
Let us wait and see.
 
WaZanzibari wameshasema watashiriki uchaguzi huo wa tarehe 27 kufa kupona na kituo chochote kitakachofunguliwa watakwenda hapo na hakuna wa kuwazuia.

Huo ni wizi na umeshajulikana kiundani labda afande Siro hajui ,CCM wameshamdanganya kuwa sijui ni polisi na wafanyakazi serikalini,wamemlisha uongo huo.

Kura za wizi zipo na zinajulikana mpaka zilipo na wanaohangaika nao,kusudi la kufanya kura wanayoita ya kuokota maembe au mapema ni kuwa hujuma ni kuyatumia masanduku hayo na kuyabadilisha huko watakokwenda kuyahifadhi,kwamba tarehe 28 katika majumuisho wayachomeke masanduku au hesabu ya hayo masanduku ya kura ya mapema.

Unajua hakuna wanalolipanga Bashiru na genge lake Zanzibar lisijulikane,kwa sasa Zanzibar hakuna CCM wa kweli walio wengi wanavaa sare na wamo ndani ya innercore ya CCM wananukuu taratibu na kuzianika,na alionao bashiru ni mapepe au mapumba tu,ni lazima washirikiane na CCM waliotulia vizuri sana kupanga mipango miovu.

Zanzibar sasa wanataka nchi yao hawataki tena upumbavu wa kuamuliwa nani awaongoze hilo limewachafua na kuwavuruga CCM mwaka huu,CCM wote wa Zanzibar kwa sasa wameshaihama CCM na waliobakia ndio wapowapo tu wakisanya hela za mipango ya polepole na bashiru kiulaini kabisa.

Ona mkutano wa mgombea wa CCM Uraisi Zanzibar ukimaliza umeona watu wanavyoondoka ? Nijuavyo Mgombea baada ya kumaliza huondoka yeye mwanzo .Zanzibar Huseini na baba yake huondoka mwisho ,wanabaki wao na viti kisha ndo unawaona hao.
Usiwasemee.
 
Hizi za tarehe 27 ndizo CCM watatumia mwanya huo kuchanganya huko na kura za maruhani za kuiokoa CCM!
 
Ili tuelewane sote tunahitaji kupata majibu, ufafanuzi na kuelimishwa maana haijawahi tokea tukapiga kura siku 2 tofauti, tunauliza tume ya uchaguzi je,

1. kura zitahesabiwa siku hiyo hiyo ya tar 27 mbele ya mawakala?
2. Kitabu walicho kitumia kuweka tiki kwa wapiga kura kitakuwepo tena kwenye kituo?
3. Hao wanaopiga kura tar 27 watakuwa na kitabu chao ambacho hakitaingia tar 28 ndani ya kituo baada ya kupiga kura.
4. Box zikilala kwa maana ya kuwa zitahesabiwa na zingine siku inayo fuata je mawakala watalala nazo hapo kituoni au
5. Kama mawakala wataambia waziache wakalale majumbani zitahesabiwa kesho tutakuwaje na uhakika kuwa box ahaikubadilishwa.
6. TUme ya uchaguzi imejipangaje ili tuwe na imani nao kuwa kura hazitaibiwa na ma box kubadilishwa usiku wa tar 27 kuamkia 28.

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kiufupi hapo utakuwa ni uchakachuaji wa kura
 
Zanzibar wanayo autonomy ya kutosha kwa sasa, upinzani wangeweka mgombea ambaye anatambua muundo wa nchi uliopo. Sasa kama anaongea waziwazi kwenye kampeni kuhusu kuiondoa zanzibar kwenye muungano, unajua kabisa ni nini anakitafuta hapo..
 
Hivi muungano una faida gani nyie mazwazwa..waachieni nchi yao..wakafie mbele
 
Chadema Mtaweweseka sana kipigo kipo pale pale

Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
 
Hivi muungano una faida gani nyie mazwazwa..waachieni nchi yao..wakafie mbele
Ungekuwa hauna faida hata mumeo ungekuwa unamnyima mbunye kwa sababu haina faida....samahani lakini...
 
Back
Top Bottom