Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unaagiza hivyo hivyo tu zipo onlineNgoja nijichange maana za mchina nilikuwa natoa laki 7 naagiza mwenyewe .. hizo za naeza zipata wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaagiza hivyo hivyo tu zipo onlineNgoja nijichange maana za mchina nilikuwa natoa laki 7 naagiza mwenyewe .. hizo za naeza zipata wapi ?
TTR kwa maneno ya mtaani unatakiwa uwe na sio chini ya m5 kupaka rangi mzeeWanapaka nenda hta kwa Ttr sema andaa 2m ukitaka uhakika wa rangi ila ukitaka bora rangi nenda kwa fundi juma hta 150k unakula rangi yako safu
Kuagiza set za rim uzito wake zikiwa 4 ni aroubd 20-30 KGS hio freight yake si mchezo labda alete kwa meli ila si ndege..Unaagiza hivyo hivyo tu zipo online
Eeh kwa meli tuKuagiza set za rim uzito wake zikiwa 4 ni aroubd 20-30 KGS hio freight yake si mchezo labda alete kwa meli ila si ndege..
Hapo inabidi atafute forwading agent akishanunua huko online...huyo agent afanye booking ya loose cargo yani ni mtiti hatari aiseeEeh kwa meli tu
Hahahahah kumbe ni process namna hio bora kwenda Tandale tu ma rim yapo kibao ya mitumbaHapo inabidi atafute forwading agent akishanunua huko online...huyo agent afanye booking ya loose cargo yani ni mtiti hatari aisee
Tandale unapata za Mtumba which offer quality zaidi kuliko mchaina😂! Zinakuwa ni OEM rimsZa tandale na za mchina bora zipi mtaalam ?
Aahh wapi !Wapaka rangi quality hapa bongo wapo chuga na moshi tu,gari hadi uambiwe kuwa ilipakwa rangi hivi hivi huwezi kunotice haraka
Wezi hao,hujatafuta wenyeji vizuri,pole sana mkuuAahh wapi !
Kuna gereji moja kubwa ya mchaga ipo Arusha washenzi wamenialibia sana mwonekano wa gari langu japo walinipiga bei wangese sana aise
Aahh wapi !
Kuna gereji moja kubwa ya mchaga ipo Arusha washenzi wamenialibia sana mwonekano wa gari langu japo walinipiga bei wangese sana aise
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Rangi za kuchanganya na vijiti vya mpera hizo ndio za 150k unapakiwa gari zima[emoji23][emoji23][emoji23] ila ukitaka rangi halisi kopo tu la litre 1 na additives zake lazma walambe M na inapakwa kwa ratios!
naomba contact za howa wataalam wa kupaka rangi..Jamaa angu kapuliza bampa ya mbele crown ametoa 200k ila huwezi jua kama alipuliza rangi kuna watu ni mafundi sana
Kupaka Rangi kuna hasara mbili,Wakuu habari za muda huu,
Kuna suala naomba nipate ufahamu zaidi.
Imekuwa ni kawaida kwa watu kuuliza kama gari limerudiwa rangi au kubadilishwa rangi pale anapotaka kulinunua mkononi kwa mtu.
Na mara zote imeonekana kama kupaka rangi gari ni kama inaishusha thamani. Inapelekea wengine kuficha hili.
Sasa swali langu, kwani haya magari huko kiwandani si mwanzo ni material yanayopakwa rangi tu?
Au ukishapaka rangi gari, itapauka au kuchubuka ukilinganisha na rangi inayotoka nayo kiwandani?
Kiufupi kwanini inachukuliwa kama kitu cha kushusha thamani gari ? Kwani hamna mafundi wenye weledi wa rangi kiasi hicho Tanzania.
Kama ulikuwa upate 8m utapata 5milion au 4.5Anhaa lakini sio kwamba rangi kubadilishwa au kurudiwa ni kitu kibaya kwa gari kama halijapata shida yoyote? Mfano mi nna crown ya silver nataka iwe nyeusi, nikibadili rangi sijaishusha thamani
Unamaanisha Suye?, nilipaka rangi bampa rangi wanatunzia kwenye vichupa vya soda take awayNi kule moshono karibu na club D nini?
Kuna utaratibu wa kufuata unapotaka kubadili rangi. Kama ni nyeupe maana yake hata TRA imesajiliwa kwa rangi hiyo.Anhaa lakini sio kwamba rangi kubadilishwa au kurudiwa ni kitu kibaya kwa gari kama halijapata shida yoyote? Mfano mi nna crown ya silver nataka iwe nyeusi, nikibadili rangi sijaishusha thamani