Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

Wapaka rangi quality hapa bongo wapo chuga na moshi tu,gari hadi uambiwe kuwa ilipakwa rangi hivi hivi huwezi kunotice haraka
Aahh wapi !
Kuna gereji moja kubwa ya mchaga ipo Arusha washenzi wamenialibia sana mwonekano wa gari langu japo walinipiga bei wangese sana aise
 
Rangi za kuchanganya na vijiti vya mpera hizo ndio za 150k unapakiwa gari zima[emoji23][emoji23][emoji23] ila ukitaka rangi halisi kopo tu la litre 1 na additives zake lazma walambe M na inapakwa kwa ratios!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kupaka Rangi kuna hasara mbili,
Inaweza kuleta picha kua gari ilipata ajali ikanyooshwa na kupakwa Rangi.

Pili Rangi ya kurudia sio bora kama rangi iliyokuja na gari.
 
Anhaa lakini sio kwamba rangi kubadilishwa au kurudiwa ni kitu kibaya kwa gari kama halijapata shida yoyote? Mfano mi nna crown ya silver nataka iwe nyeusi, nikibadili rangi sijaishusha thamani
Kama ulikuwa upate 8m utapata 5milion au 4.5
 
Anhaa lakini sio kwamba rangi kubadilishwa au kurudiwa ni kitu kibaya kwa gari kama halijapata shida yoyote? Mfano mi nna crown ya silver nataka iwe nyeusi, nikibadili rangi sijaishusha thamani
Kuna utaratibu wa kufuata unapotaka kubadili rangi. Kama ni nyeupe maana yake hata TRA imesajiliwa kwa rangi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…