Je, kushikamana na Sunnah ni Itikadi kali au ndio njia iliyonyooka?

Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa
 
Kwahiyo hii ndio hoja ya kuupinga utume wa Muhammad?
Hii hoja niliitumia kukupima kama unazo akili za kujadili kuutetea Uislamu...nimegundua hata Uislamu wenyewe huujui ..wewe ni shabiki wa dini tu
 
"...kabla ya uislamu watu walikua wanaoa wake wengi .."

Mara zote huwa mnasemaga uislamu ulikuwepo toka siku ya kwanza, hata Adam na eva walikua waislamu. Leo hapo unasema kabla ya uislamu watu walioa wake wengi. Kwani uislamu ulianza lini?
 
Hii hoja niliitumia kukupima kama unazo akili za kujadili kuutetea Uislamu...nimegundua hata Uislamu wenyewe huujui ..wewe ni shabiki wa dini tu
Wewe unae ujua uislamu embu tueleze uislamu Nini?
 
Uislam wa kweli ni Quran tu,Sunnah(mwenendo) wa mtume hamuwezi kuwa nje ya Quran

Huko nje ya Quran ndiyo yanakopatikana mambo tofauti na Quran,kuchinja watu,kulipua watu,niqab,kukata nguo kuwa fupi,kurusha watu toka maghorofani nk,hiyo ni dini tofauti na Quran
 

Tatizo kubwa ni kudhani kwamba Qur’an inaweza kueleweka bila Sunnah. Hata Qur’an yenyewe imetuamrisha tumfuate Mtume ﷺ na tushike aliyotuletea.
Allah amesema:
﴿وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا﴾
“Na alichokupeni Mtume kichukueni, na alichokukatazeni jiepusheni nacho.”
[Al-Hashr: 7]
Na amesema:
﴿مَنْ يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ﴾
“Anayemtii Mtume basi amemtii Allah.”
[An-Nisaa: 80]
Sasa kama Sunnah si sehemu ya dini, mbona Qur’an inatuamrisha tumtii Mtume ﷺ?
Halafu mambo anayoyaita “tofauti na Qur’an” mengi yako ndani ya Qur’an au yanafafanuliwa na Sunnah:
Hijab na kujistiri vimetajwa Qur’an.
Adhabu za kihalifu zina asili Qur’an na Sunnah.
Kufupisha nguo juu ya vifundo vya miguu ni Sunnah ya unyenyekevu, si ukatili.

Ukweli ni kwamba huwezi kuswali vizuri, kutoa zaka, kuhiji wala kujua rakaa za swala kwa Qur’an peke yake bila Sunnah. Sunnah ndiyo ufafanuzi wa Qur’an, si dini nyingine.
 
"...kabla ya uislamu watu walikua wanaoa wake wengi .."

Mara zote huwa mnasemaga uislamu ulikuwepo toka siku ya kwanza, hata Adam na eva walikua waislamu. Leo hapo unasema kabla ya uislamu watu walioa wake wengi. Kwani uislamu ulianza lini?

“Umechanganya maana mbili tofauti za neno Uislamu.
Ndiyo, kwa maana ya kusalimu amri kwa Mungu mmoja, Mitume wote tangu Adam عليه السلام walikuja na Uislamu. Lakini sheria na mfumo wa mwisho uliokamilika uliteremshwa kwa Mtume Muhammad ﷺ.
Kwa hiyo tunaposema ‘kabla ya Uislamu watu walikuwa wanaoa wake wengi’ tunamaanisha kabla ya kushuka kwa sheria ya Kiislamu kwa Mtume Muhammad ﷺ. Historia inaonyesha Waarabu, Warumi na mataifa mengine walikuwa wanaoa wanawake wengi bila mipaka. Uislamu haukuanzisha jambo hilo, bali uliweka mipaka na masharti ya haki.
Qur’an ikasema:
﴿فَانكِحُوا مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءِ مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُوا فَوَاحِدَةً﴾
‘Oeni wawili, watatu au wanne; mkihofia kutotenda haki, basi mmoja.’ [An-Nisaa: 3]
Kwa hiyo hoja yako imejengwa juu ya kutofautisha kati ya:
Uislamu kama dini ya Mitume wote.
Sheria ya mwisho ya Kiislamu iliyoteremshwa kwa Mtume Muhammad ﷺ.”
 
Ni usalama tu wa taifa na maslahi ya jamii yako, mbona hata sasa marekani anafukuza watu wa aina flani na anazuia jamii flani isiingie kwake?
So hakuna la ajabu hapo, na wala huo sio ukatili
 
Mtume hawezi kukupa kilicho nje ya Quran,hiyo aya haimaanishi anachokupeni mtume ni hizo Sunnah
Mtiini mwenyezi Mungu mtiini mtume na wenye mamlaka juu yenu miongoni mwenu(waumini)..hii aya inamaanisha tufuate Sunnah za mamufti,maqadhi na masheikh?

Kusema Quran peke yake haieleweki ni kufru, sababu Quran yenyewe mara nyingi imesema nyepesi kueleweka
 
Usilam na ugaidi ni kama chupi na tako.
 
Kwahiyo Nini maana ya kumtii mtume?
 
Palikua na ulazima gani kwa Mohammad kuleta haya mavitu yote ilhali alikuta dini, yaani Mungu asubiri miaka 600 baada ya Yesu kuondoka kisha aanzishe dini mpya uarabuni inayopingana na Ukristo, inayohubiri ngono na mabikira 72 peponi na mauchafu mengine yote ikiwemo unywaji wa pombe peponi.
 
Lete ushaidi sio porojo tu!!

Muasisi wa uislamu mwenyewe alifanya ugaidi wa kuchinja Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani, hata kama alikua na sababu zake za kuua Wayahudi, palikua na ulazima gani kuuza watoto utumwani.
Mwenyewe alikua mchafu ikiwemo kudinya katoto ka umri wa miaka tisa
 
Kwahiyo wewe una mamlaka ya kumpangia huyo Mungu?
 
Kweli we


Kama Uislamu ni ushetani, eleza ni mafundisho gani ya shetani yanayofundisha watu kumuabudu Mungu mmoja, kuwaheshimu wazazi, kusaidia masikini na kuacha maovu?”
Mudi boy alikuwa anaongozwa na jini ...MUNGU atumii majini kama wajumbe wake kuwaongoza wanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…