Sio kosa kisheriambona watu wanakuja na maelezo Mengi, kama mtu amekuja Dukani kukopa, Swali ni Je Kuto kupiga ni Kosa sio Kosa kisheria. Na kama ni Kosa Adhabu zake ni zipi full stop.
Ni kosa la kujikosea mwenyeweNataka Kujua ni Kosa sio Kosa, Full stop
Nimekwambia ni kosaNdomana Wasomi huwa siwaelewi.
mbona, mnaongea sana vitendo 000000.
Jibu jepesi tu, ni Kosa au sio Kosa. Wala swali Halihitaji maelezo.
Sasa kama mtu hukubaliani na sera za mgombea yoyote utampigia nani kura?Kutopiga kura ni kujidhurumu na kuwa tayari kutawaliwa na yeyote
NimekuelewaSasa kama mtu hukubaliani na sera za mgombea yoyote utampigia nani kura?