Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria?

Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria?

Habari Wana JF, naomba kujuzwa kidogo kwa Wenye uelewa wa Sheria, Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria, na kama nikosa adhabu zake ni zipi.

Maana mi Binafsi naomba Kujua Hilo kwa Manufaa yangu na kizazi changu na Jamiii inayonizunguka.
Sio kosa na ndio maana watanzania wengi hawapigi kura
 
Sio kosa kuto piga kura,
Kwenye nchi zetu hizi kupiga kura ni kielelezo cha mtu dhaifu kiakili.
Unawezaje panga foleni kwenda kupiga kura huku ukijua matokeo yake?
uko serious kabisa! eti unachagua rais!!
 
Nataka Kujua ni Kosa sio Kosa, Full stop
Kupiga au kutokupiga ni uamuzi wako wala sio kosa ,
Haki ni pale unaporidhika na jambo fulani. Labda tu pale unataka kupiga kula alafu wanakukataza wakati vigezo vyote unavyo hapo ndo kosa kisheria
 
Back
Top Bottom