johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unafikiri hao Maaskofu wa Katoriki ni kama Kakobe?Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka...
LumumbaNauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka...
Hata ukifa wewe mwenyewe kwa corona, kafungue jalada polisi.Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka...
Haya bhana!Hiyo ni Catholic Church sio kijiwe cha Gwaji Boy
Tofauti ni ipi bwashee?Unafikiri hao Maaskofu wa Katoriki ni kama Kakobe?
Unaijua bwa shee acha utani!! Hii kauli ni nzito mno..kanisa sasa limeamua kusimama na kuchukua hatamu!! Ni message kubwa mno kwa watawala...kuna jambo halipo sawa!!Tofauti ni ipi bwashee?
... message mojawapo ni onyo kwa yule jamaa asirudie ujinga wake kung'ang'ania mike madhabahuni kuhubiri ujinga wake.Unaijua bwa shee acha utani!! Hii kauli ni nzito mno..kanisa sasa limeamua kusimama na kuchukua hatamu!! Ni message kubwa mno kwa watawala...kuna jambo halipo sawa!!
Kama hao viongozi uluotaja hawatoi hizo takwimu tufanyeje? Ombwe la watu kupata taarifa lazima lizibweNauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka...
Kuna watu humu nchini ni wapumbavu kidogo.Unaijua bwa shee acha utani!! Hii kauli ni nzito mno..kanisa sasa limeamua kusimama na kuchukua hatamu!! Ni message kubwa mno kwa watawala...kuna jambo halipo sawa!!
Kusema ni mtu fulani tu ndiye anaweza kitoa takwimu za ugonjwa au vifo, ni upumbavu.Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka..
Maendeleo hayana vyama!
Prof Mwigullu Nchemba anazungumzia takwimu za vifo vya magonjwa ya kupumua tu!Kusema ni mtu fulani tu ndiye anaweza kitoa takwimu za ugonjwa au vifo, ni upumbavu...
Umeambiwa magonjwa ya kupumua uwe unaelewa wewe!Mbona malaria mnatoa