johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!