Je, 'Kutumbua' Wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla au baada ya Siku Kuu ya 'Eid' ipi ina Afya ya 'Kisaikolojia' kwa Walengwa?

Je, 'Kutumbua' Wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla au baada ya Siku Kuu ya 'Eid' ipi ina Afya ya 'Kisaikolojia' kwa Walengwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama nawaona sasa baadhi ya Watu (Walengwa) baada ya Kuusoma tu 'Uzi' huu watakavyoanza Kupiga Simu kwa Waganga wa Kienyeji na hata Kuomba 'appointment' nao haraka.

Moshi Mweupe unaanza Kupaa tu sasa.
 
Mzaha sio mzaha...

Hakika,moshi mweupe unaanza kuonekana....Abiria chunga mzigo wako.

Hivi waganga wa kienyeji huwa wanasaidia nini kwenye mambo kama hayo?..tuelimishane kidogo..
Kuna Mtu katoka Moshi sasa anaelekea Bagamoyo kwa 'Babu' kuweka mambo sawa kwani kila 'akichungulia' kama 'walivyochungulia' Yanga SC juzi anakuta anaenda 'Kuliwa' Kichwa mazima mazima.
 
Walengwa ni sisi wananchi walipakodi, hivyo kwangu naona ni afya utumbuaji ufanyike kabla ya EID ili tuwe na mada za kuzungumzia wakati tupo jamvini tukifinya wali mchafu, huwa linanoga sana
 
Back
Top Bottom